Naomba Ufafanuzi

Robies

Member
Feb 28, 2010
18
1
Jamani Mbona Kuna Ubishano Kuhusu Deadline ya Kuaply TCU ...
Kwa wale WaliomalizaVyuo vya Ufundi waliambiwa mwisho ni 30th apr regardin matangazo yaliyotolewa kabla na vyombo vya Habar..
But now referin to the TCU Guidline
inasema ni 30th of June ..
Sasa Tuamin Ipi .. ?
 
Back
Top Bottom