Naomba tofauti ya activist na politician

1. MWANAHARAKATI;hana nia ya kupata ubunge,udiwani wala cheo chochote KISIASA lakini POLITICIAN lengo lake ni kupata ivyo vyeo/nafasi

2. MWANAHARAKATI;lengo lake kubwa ni kuikosoa serikali na kuisemea jamii kwa serikali nini inataka LAKIN POLITICIAN lengo lake si kuipundua/iitoe serikali kwa hayo mabaya atakayokosoa

3. MWANAHARAKATI;hana posho/ruzuku bt POLITICIAN have t

4. MWANAHARAKATI;they come n go accordingly to matukio/needs LAKIN POLITICIAN yeye yupo tu anaweza kuwa kwenye chama tangu mwaka 1977 mpk 2011 mpk lengo lake la kugombea kupata post aliyoidream itokee

5. MWANAHARAKATI ;mara nyingi anakuwa sio KILAZA lakin POLITICIAN wengi wanakuwa vilaza/elimu nehiii ili mradi tu awe anajua kupiga domo/anajua kupika majungu na kaushirikina kdg plus na umalaya wa kuchukua wake/waume za watu basi we ni mwanasiasa bora

6. MWANAHARAKATI; yupo up to date ,anasoma mavitabu,imtandao mara nyingi,anasoma majarida ,anahudhuria mikutano na makongamano yenye tija na siyo mvivu wa kufikiri LAKINI MWANASIASA yeye han uo mda wa kusoma wala kuperuzi what new yeye mda wake wote ni wakutafuta wabaya wake/wasaliti wake na kwenda kwa waganga (since hawajiamini awa mbuz)

7. MWANAHARAKATI ;anakuwa yupo karibu na wananchi kusikliliza shda /needs zao lakin mwanasiasa hana mda wa kukaa na wananchi yeye mda anao wa kukaa na WAMAMA WA BARABANI..(NYERERE atumiii neno changudoa utamsikia tu akisema ..yule bwana alikamatwa na mamammoja wa barabarani...)

8. MWANAHARAKAT ;ANAPENDA HAKI wakat POLIRTICIAN hapend wala hataki kusikia kitu haki ndo mana wanajipangia posho kuubwa wakat kule namtumbo hawana ata zahanat

9. MWANAHARAKATI;hazai ovyo kila mtaa ana mtoto LAKIN POLITICIAN kila mtaa ana mtoto,ana mke

10. MWANAHARAKATI;sio mnafiki,mzandiki lakin politician ni wanafiki na wazandiki

NOTE;
unaweza kuwa mwanasiasa na mwanaharakat at the samae time...kwa mifano apo juu najua ushawajua akina nani ni wanasiasa na wanaharakat kwa pamoja na akina nani ni WANASIASA TOTALLY..IN grand total..!!!!!

nawasilisha ..naenda kutwanga kisamvu mie nkapike kwa raha zangu..m kitchen activist..n u? wu r u?

pamoko.

nimeipenda hii maneno!
 
Wanasiasa ni watu ambao hutuchagulia the direction ambayo nchi inabidi ifuate hili kuleta mendeleo katika jamii kupitia policies zao. Hata kama ni za kipuuzi kama za Bwana Mkullo.

Whereby wanaharakati ni pressure groups ambao wapo kwa sababu za kukemea yale wanaoyaona siasa inayaacha au inayabana kupitia policies zao, ni watetezi wa marginalised groups or interests za wengine ambao siasa kupitia wanasiasa inawanyima haki.

Mfano wewe unaweza kwenda kumkaba Mkullo kama ni mtetezi wa wanyonge na kumwambia aachie ngazi kwa sababu sera za mendeleo hana na gavana ndullu ndio anakuja kuwamaliza maskini kwa mihela waliiyoingiza wakati wa kampeni zao leo inasabisha gharama za maisha kuwa juu. Wao wanadai waitoe wakati watakao athirika zaidi ni wale wale waliowaonga kwenye kampeni za na khanga. Wao kila tatizo ni dolla tu Khaaa hatari namna hii.
 
labda nkupe darasa wewe juuu ya wanaharakati...
nawajua very well juu ya mabaya na mazuri yao in society...pia yakupasa utambue what is good n what is bad..IS RELATIVE..SO ZINGATIA ILO UKITAKA KUEPEUKA BIASNESS.....kuna wanaotetea ushoga i knw utasema i mbaya..even me naona mbaya bt some place some whre wanasema yap its good...kuja wanaotetea mapadrewaoe/mashoga wawe maaskofu...masista nao wapewe hadhi ya mapadre...waaarabu wapewe nini sjui..waklristu wapewe nin sjui...al queeda wanfanya vyema ....wengne wanasema noo..so it depend mr u.

nawajua very welllllllllllllll....
ur welcome

KWANGU NAMPENDA CHE namwona km mwanapinduzi/mwanaharakat wa ukwee...nyerere too kwangu activist wa ukweli...boby marley..walter rodney....wengi wengi wengi...even jesus so to say was ACTIVIST....niaje apo?ukikataa we mkaidi.

nawasilisha
Rose you are a great thinker! bravo!!
 
inategemea ni mwanaharakati wa nini. lakini kiuhalisia ni wale wale kasoro mbinu
 
Back
Top Bottom