Uvimbe wa mafuta chini ya ngozi (Lipoma); Chanzo, dalili na tiba

LOIM

Member
Mar 16, 2013
27
1
Habari za ahsubuhi wana Jf! Naomba madokta wa humu ndani kama wana uzoefu kuhusu uvimbe wa mafuta kwa kitaalam Lipoma au (Fatty tumors/lump) nini causes zake,tiba,na prevention ya lipoma! Thanks!

---Majibu kutoka kwa wadau---

LIPOMA NI NINI?
Lipoma ni uvimbe unaotokea kutokana na kukua zaidi kwa seli mafuta ( fatty cells) na uvimbe huu huonekana ndani ya ngozi. Lipoma sio saratani na haiwezi kuwa saratani. Sehemu zinazo hathiriwa sana ni shingoni, kwenye mapaja, mikononi, kwenye makwapa, ila inaweza tokea sehemu yoyote ya mwili.

LIPOMA HUSABABISWA NA NINI?
Lipoma bado haijafahamika husababishwa na nini hasa, ila kwa tafiti zilizofanywa huonesha kuwa asilimia kubwa huwa ni urithi( heredity) kutoka kizazi hadi kizazi, pia kuumia kunakoweza kukusababishia uvimbe usiopungua.

UTAJUAJE KUWA UNA LIPOMA?
Lipoma kwa kawaida huonekana kwa macho pia ukikishika kinasogea( movable) na ni laini kama mpira, pia hakina maumivu yoyote na huwa ni kidogo lakini hukua kadri miaka inavyoenda.

Kitaalam inaweza ikachukuliwa sample ya sehemu ya uvimbe ( biopsy) na kwenda kufanyia uchunguzi kugundua kama kutakuwa na saratani ndani yake.

JINSI YA KUTIBU LIPOMA.
Lipoma kwa kawaida huwa haitibiwi ila itatolewa kama kutakuwa na maumivu au kuathiliwa na vimelea vya magonjwa.

Lipoma hutolewa kwa kufanyiwa upasuaji mdogo( minor surgery) kwa kuzingatia usafi wa hali ya juu (sterility) ili kupunguza maambukizi ya magonjwa mengine.
 
lipoma-9-49.jpg

2

lipoma-9-49a.jpg

What is a lipoma?

A lipoma is a growth of fat cells in a thin, fibrous capsule usually found just below the skin. Lipomas are found most often on the torso, neck, upper thighs, upper arms, and armpits, but they can occur almost anywhere in the body. One or more lipomas may be present at the same time. Lipomas are the most common noncancerous soft tissue growth.

What causes a lipoma?

The cause of lipomas is not completely understood, but the tendency to develop them is inherited. A minor injury may trigger the growth. Being overweight does not cause lipomas.

What are the symptoms of a lipoma?

Lipomas usually:

  • Are small [0.4 in. (1 cm) to 1.2 in. (3 cm)] and felt just under the skin.
  • Are movable and have a soft, rubbery consistency.
  • Do not cause pain.
  • Remain the same size over years or grow very slowly.
Often the most bothersome symptom is the location or increased size that makes the lipoma noticeable by others.

How are lipomas diagnosed?

A lipoma can usually be diagnosed by its appearance alone, but your health professional may want to remove it to make sure the growth is noncancerous.

How are lipomas treated?

Lipomas do not generally require treatment. Because lipomas are not cancerous growths and cannot become cancerous, they do not need to be removed. There is no known treatment to prevent lipomas or affect their growth.
A lipoma may be surgically removed if symptoms develop, such as if the lipoma:

  • Becomes painful or tender.
  • Becomes infected or inflamed repeatedly.
  • Drains foul-smelling discharge.
  • Interferes with movement or function.
  • Increases in size.
  • Becomes unsightly or bothersome.

Most lipomas can be removed in the doctor's office or outpatient surgery center. The doctor injects a local anesthetic around the lipoma, makes an incision in the skin, removes the growth, and closes

the incision with stitches (sutures). If the lipoma is in an area of the body that cannot be easily reached through a simple incision in the skin, the lipoma may need to be removed in the operating room under general anesthesia.

Who is affected by lipomas?

Lipomas occur in all age groups but most often appear in middle age. Single lipomas occur with equal frequency in men and women. Multiple lipomas occur more frequently in men.

Kuna ugonjwa unaitwa Lipoma na unamsumbua mwanangu kwa miaka miwili sasa.

Kwa daktari mbobevu katika hili, ugonjwa huu unasababishwa na nini na ni nini tiba yake?

Naombeni msaada wenu tafadhari.
 
Mkuu mimi niliwahi kuumwa na tiba yake nilifanyiwa oparetion pale kwa Dokta pale Kibaha ndani ya dk 20 kesi ikawa imeisha.
 
Huu ni mkusanyiko wa mafuta sehemu yenye nyama nyama.

Mafuta hayo hukusanywa na kuwa uvimbe kwani sio ya kawaida.

Tiba yake ni kuyaondoa kwa operation, inategemea na mahali ulipo lakini hospitali yoyote yenye chumba cha upasuaji na daktari unapata huduma.
 
Habari ya mida hii waungwana. Ningependa kujua uhusiano kati ya matatizo haya mawili ya kiafya.
1. Je, kuna uwezekano wa Lipoma kubadilika na kuwa Saratani ikiwa haikupatiwa tiba mujarabu kwa wakati?
2. Vyanzo vya Lipoma na saratani vinafanana?
3. Je, kuna tiba mbadala ya Lipoma tofauti na upasuaji?
4. Kama usipoushughulikia Lipoma (kuipotezea) kuna madhara yoyote ya kiafya mgonjwa anaweza kuyapata?
Karibuni kwa mjadala. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
1:Ndio lipoma inaweza kuwa cancer endapo itaachwa kwa mda mrefu zaidi
2:Lipoma ni uvimbe mafuta ambao unaweza kutokea sehemu yoyote ile ktk mwili wa binadamu!! ulaji wa vyakula mkaango umekuwa sababu ya matatizo mengi sana hivyo visababishi vya lipoma na saratani hufanana kwa msingi huu wa utumiaji uliokithiri wa vyakula mkaango
3:Binafsi sijui kama kuna tiba mbadala ya lipoma zaidi ya upasuaji
4:Endapo uvimbe hautaondolewa basi utaendelea kukua na kuwa mkubwa zaidi na mwishowe unaweza kubadilika na kuwa saratani
USHAURI
Tuache ulaji mbovu wa vyakula mkaango kama vile chipsi,nyama za kukaanga,mishikaki nk na turudi ktk vyakula mchemsho ambayo vina faida kedekede ktk miili yeti
Asanteni
 
LIPOMA NI NINI?
Lipoma ni uvimbe unaotokea kutokana na kukua zaidi kwa seli mafuta ( fatty cells) na uvimbe huu huonekana ndani ya ngozi. Lipoma sio saratani na haiwezi kuwa saratani. Sehemu zinazo hathiriwa sana ni shingoni, kwenye mapaja, mikononi, kwenye makwapa, ila inaweza tokea sehemu yoyote ya mwili.

LIPOMA HUSABABISWA NA NINI?
Lipoma bado haijafahamika husababishwa na nini hasa, ila kwa tafiti zilizofanywa huonesha kuwa asilimia kubwa huwa ni urithi( heredity) kutoka kizazi hadi kizazi, pia kuumia kunakoweza kukusababishia uvimbe usiopungua.

UTAJUAJE KUWA UNA LIPOMA?
Lipoma kwa kawaida huonekana kwa macho pia ukikishika kinasogea( movable) na ni laini kama mpira, pia hakina maumivu yoyote na huwa ni kidogo lakini hukua kadri miaka inavyoenda.

Kitaalam inaweza ikachukuliwa sample ya sehemu ya uvimbe ( biopsy) na kwenda kufanyia uchunguzi kugundua kama kutakuwa na saratani ndani yake.

JINSI YA KUTIBU LIPOMA.
Lipoma kwa kawaida huwa haitibiwi ila itatolewa kama kutakuwa na maumivu au kuathiliwa na vimelea vya magonjwa.

Lipoma hutolewa kwa kufanyiwa upasuaji mdogo( minor surgery) kwa kuzingatia usafi wa hali ya juu (sterility) ili kupunguza maambukizi ya magonjwa mengine.
 
Iko timamu

lipoma-9-49.jpg

2

lipoma-9-49a.jpg

What is a lipoma?

A lipoma is a growth of fat cells in a thin, fibrous capsule usually found just below the skin. Lipomas are found most often on the torso, neck, upper thighs, upper arms, and armpits, but they can occur almost anywhere in the body. One or more lipomas may be present at the same time. Lipomas are the most common noncancerous soft tissue growth.

What causes a lipoma?

The cause of lipomas is not completely understood, but the tendency to develop them is inherited. A minor injury may trigger the growth. Being overweight does not cause lipomas.

What are the symptoms of a lipoma?

Lipomas usually:

  • Are small [0.4 in. (1 cm) to 1.2 in. (3 cm)] and felt just under the skin.
  • Are movable and have a soft, rubbery consistency.
  • Do not cause pain.
  • Remain the same size over years or grow very slowly.
Often the most bothersome symptom is the location or increased size that makes the lipoma noticeable by others.

How are lipomas diagnosed?

A lipoma can usually be diagnosed by its appearance alone, but your health professional may want to remove it to make sure the growth is noncancerous.

How are lipomas treated?

Lipomas do not generally require treatment. Because lipomas are not cancerous growths and cannot become cancerous, they do not need to be removed. There is no known treatment to prevent lipomas or affect their growth.
A lipoma may be surgically removed if symptoms develop, such as if the lipoma:

  • Becomes painful or tender.
  • Becomes infected or inflamed repeatedly.
  • Drains foul-smelling discharge.
  • Interferes with movement or function.
  • Increases in size.
  • Becomes unsightly or bothersome.

Most lipomas can be removed in the doctor's office or outpatient surgery center. The doctor injects a local anesthetic around the lipoma, makes an incision in the skin, removes the growth, and closes

the incision with stitches (sutures). If the lipoma is in an area of the body that cannot be easily reached through a simple incision in the skin, the lipoma may need to be removed in the operating room under general anesthesia.

Who is affected by lipomas?

Lipomas occur in all age groups but most often appear in middle age. Single lipomas occur with equal frequency in men and women. Multiple lipomas occur more frequently in men.

Similar Discussions

Back
Top Bottom