Naomba sifa za wanaume wa wakipogoro

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
811
624
Naomba mnishauri nimempata mchumba wa kipogoro,hivi wanaume wa kabila hili wana sifa gani?
 
Arrrg!We unachumbiwa na kabila au kijana mwenyewe?Kujua kuhusu kabila hakutakusaidia chochote ila kujifunza tabia ya mwenzako ndo itakayo kusaidia!
 
ni km umenunua ka radio kapyaaaa halafu ukakawekea duracell mpyaaaa ukafungulia mpaka mwisho ndani kwako tehetehetehe. siku hizi ukabila hauna nafasi tunakua kwenye jamii moja labda tofauti mimi naiona kwenye society tunazokulia na si kabila. kwa mfano watu wanaosoma au waliopitia shule za st.kayumba huwa wagumu na wavumilivu ila waliosoma st. maries n academies huwa watoto wa mama saaaana so achana na ukabila. juzi kuna dogo mmoja nilimuulizia mtu flani ana same sirname na yeye akasema yeye hamjui na kwao moshi hajawi kaa zaidi ya wiki. kazaliwa dar kakulia hapa std one hadi six na chuo vyote hapa dar hata lugha ya kwao inampa shida. mimi mwenyewe lugha ya kwetu siijui kabsaa sijazaliwa songea na sijawahi ishi songea zaidi ya miaka miwili na mkinipa mke wa mtu nimsindikize atafika salama salmin. so kabila watu washayasahau
 
Hapo nina mashaka maana sijawahi kuona mtani wangu aliyeacha asili yake hata kama amezaliwa na kukulia Japan..:lol::lol:
 
Hivi ukiambiwa wana sifa mbaya utamuacha???
Ni wabaya!!!
 
Acha mambo ya ukabila wewe
Kwa hiyo ukimaliza ukabila
Utakuja dini yake
Halafu sura
Then rangi,
Then umbo
Then Elimu
Then mrefu au mfupi
Halafu nini tena kinafata?????
 
Kabla hujachumbiwa ungeuliza makabila na tabia zao. Sion kama ni busara kuanza kuchimba tabia za makabila , mahusiano ni yako na yeye . Na tabia sio identity ya kabila. Mfano kuna wakurya wanasifika kupiga wanawake, binafsi sijawahi pigwa! Achana na mambo ya ukabila.
 
hujampenda ww, ungempenda usingeuliza swali ulilouliza

waswahili husema, kama ukimpenda mtu, "chongo huita kengeza"

ww iweje eti umepata mchumba unauliza kabila?????????

hujatulia!!
 
It's real kwamba unahitajika kuchange coz ukabila hauna nafas ktk love, unachotakiwa n kuwa karib na urelove ili ufaham alivyo kiundan na mambo anopendelea then kinachofata nkutimiziana up to this u can be a real couple and u'll have a longa lov span.
 
ni husband material sana (endelea naye)

hawana ishu (achana naye)

Nafikiri nimekusaidia sana
 
hamjanisaidia jamani!
1.ngoja nikupe ile roho yako inapenda.
2. Hawa jamaa wanajua kupenda, wanajali na wanatunza.
3.kwa ajili ya upole wao wengi hawaoi kwao maana dada zao kidogo dakika tano mbele.
4.mambo ya kiushirikina wanayajua,haswa iwapo amekulia kule nyumbani na hashiki dini yoyote. Basi saluni atakuwa anapajua.
5.anyway,generaly they are good.umelamba dume.
 
Back
Top Bottom