Naomba Sheria ya Kufanya Biashara Tanzania kwa kutumia Fedha ya Kitanzania

bhageshi

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
264
101
Ndugu wapendwa wana JF, naomba msaada wenu, yeyote mwenye sheria inayohusu kufanya biashara nchini kwa kutumia fedha ya Tanzania tu anipatie. Hivi sasa kumezuka sana tabia ya wafanya biashara wengi kuuza bidhaa zao kwa US$ badala ya TZS sasa nataka nijelimishe sheria inasemaje juu ya hili jambo na mengineyo juu ya fedha ya Tanzania katika biashara.
 
Back
Top Bottom