Naomba shauri

Kwa nini uishi maisha ya mashaka,
Ni kama wachota maji kwenye ndoo iliyotoboka,
Hapo ulipofikia patosha sasa pumzika,
Wala usitafute mchawi ni kawaida mambo kubadilika,
Jipange tena upya utafute kwa kushika.
 
huyu mdada mimi namjua vizuri sana ni mzuri mbali na uzuri ana umbo lakuvutia sasa nashindwa kuelewa maana waswahili wanasema kizuri hakikosi kasoro labda kuna tabia za ndani ambazo mshikaji kaziona sio, ila anasifa zote za kuwa mke.
 
au ni wewe?
 
SMILE jifunze ku comment mama,this is popularite forumme!! Hekima inaitajika sana!
 
Back
Top Bottom