Naomba serikali izuie mapenzi muda wa kazi

Nov 18, 2016
55
43
Utakuta mtu anafanya kazi, ikifika lunch time anachomoka chap kwenda home akale viwili vya mwendokasi.

Utakuta bosi anakaita ofisini kabinti kalikoajiriwa juzi juzi ofisini halafu anabana mlango.

Utakuta fundi gari gereji anamla mwenye gari ili mwenye gari asilipe.

YOTE HII MUDA WA KAZI

[HASHTAG]#JustSaying[/HASHTAG]
 
Muda wewe uko kazin wengine tupo mapunziko kila mtu afanye tendo pale anapopata nafasi na hamu.

Hiyo serikali haichung papuch na gegedo

Huyo bint na boss waache huenda ndo mkataba wa kazi

Sisi waarabu na wapemba lunch muhimu kimoja cha fasta ikiwezekana cha kuweka mlo vizur

Fund gerage akimla makubaliano yao anamtengenezea gar na hana pesa atalipa thruu service.

Serikal inameshindwa kuwajibika kwa vitu muhimu hii nchi like mkopo na afya..uchumi unayumba ukiwapa hii hawa maboya utasikia dawa ni kuondoa vikojoleo vyetu
 
Nadhan hili ni suala la mtu binafsi... coz hata serikali nao ni binadamu... pia.. wanapenda haka kamchezo.
 
Utakuta mtu anafanya kazi, ikifika lunch time anachomoka chap kwenda home akale viwili vya mwendokasi.

Utakuta bosi anakaita ofisini kabinti kalikoajiriwa juzi juzi ofisini halafu anabana mlango.

Utakuta fundi gari gereji anamla mwenye gari ili mwenye gari asilipe.

YOTE HII MUDA WA KAZI

[HASHTAG]#JustSaying[/HASHTAG]
Kuna tofauti kati ya mapenzi...tendo la ndoa, ngono na mahusiano. Mapenz is a big concept...its a chemistry. Ww una maanisha kipi? Coz bnafsi sija kuelewa completely
 
Tunakoelekea mtaiomba serikali izuie kunya muda wa kazi.....Hivi hamna personal control?
 
Utakuta mtu anafanya kazi, ikifika lunch time anachomoka chap kwenda home akale viwili vya mwendokasi.

Utakuta bosi anakaita ofisini kabinti kalikoajiriwa juzi juzi ofisini halafu anabana mlango.

Utakuta fundi gari gereji anamla mwenye gari ili mwenye gari asilipe.

YOTE HII MUDA WA KAZI

[HASHTAG]#JustSaying[/HASHTAG]
Unaposema serikali izuie mapenzi saa za kazi, kwani lini iliruhusu..?
 
Atazuiaje wengine sisi kaz zetu za shift,na walinz je wazuiliwe
 
Back
Top Bottom