Naomba ramani za nyumbawandugu

Habari za kazi wandugu nataka kujenga nyumba maeneo ya Kuanzia Kimara na kuendelea Kibaha ,Mbezi Temboni, Kwamsuguri,Misugusugu sasa naombe Ramani mwenye nayo iwe na Master moja Bed 4 moja ya Mgeni iwe Sebuleni Office , Kitchen Dining Ziwe mbili ya Chakula na ya Breakifast Laundry room Stoo, Garage,Bath mbili Toilet mbili ile room ya Mgeni Iwe Master ndogo Asante wandugu.
Unaweza ku-google online ukapata Free House Plan, zipo nyingi tu. Ingia hapa... House Plans

wwwdrummondhouseplanscom-multigenerational-floor-plan-no-2278-mail-level.jpg
 
Hacha uswahili kaka....tumia wataalamu ili upate kitu kizuri...tafuta mtaalamu umpeleke site ili akaone site ajue jua linacomoza wapi na lina zama wapi ili ajue vyumba ataviweka pande ipi na vilevile ataweza jua kama kiwanja chako kina slope ili aweze kudesign accordingly.gharama sio kubwa kivile.kama uko serious contact me ili nikulengeshe kwa wataalamu.
 
Hacha uswahili kaka....tumia wataalamu ili upate kitu kizuri...tafuta mtaalamu umpeleke site ili akaone site ajue jua linacomoza wapi na lina zama wapi ili ajue vyumba ataviweka pande ipi na vilevile ataweza jua kama kiwanja chako kina slope ili aweze kudesign accordingly.gharama sio kubwa kivile.kama uko serious contact me ili nikulengeshe kwa wataalamu.

"What I have learned, I would like to share with others..."

Kama una taka kujenga utakavyo, basi cha muhimu kwanza ujifunze basic architectural concept - kama vile basic size za vyumba, vyoo, location, n.k. Pia, angalia angalia ramani na majumba kwenye magazeti na Internet. Alafu, jifunze jifunze ku "feel" the size of space in a room. Kwa mfano, kama unataka chumba kiwe square meter 20, basi jua how it feels to be in a 20 meter square room, and whether that space is enough for you or not. Ukienda maali ukaona size ya chumba ambacho unataka kiwe kama jiko lako, basi pima eneo la hiyo chumba upate idea how big your kitchen should be. The easiest way kupima (kisiri siri) ni kwa hatua. Au hesabu tiles maana most tiles ni 30 cm long (or 40 cm kwa zile kubwa). Pia unaweza kupima kwa steps za kiatu-by-kiatu kisha umatiplai kwa urefu wa kiatu chako. Of course, kama ni nyumba ya mshikaji basi anaweza kukupa vipimo halisi. All this will help you define your goals by giving you a feel of the space you will be leaving in, and how you will utilize the plot.

Pia, usimwachie architect a define what you need...he must follow what you want, and only advice you if the cost, regulation, or structural integrity will be at risk. Asikuambie eti " milango lazima iwe futi 7, au master bedroom lazima iwe nyuma ya nyumba. Remember, the most important part of the whole design work is the Structural Engineer's plan, because that will determine the durability of the house...the rest is just personal test.

Architectureis a form of art, and therefore it takes one's interest to make a great plan. Unfortunately, wachoraji wengi wa bongo are there for the quick money, no time for creativity, so they cut-and-paste and not considering the builder's interest. Ndio maana nyumba nyingi za bongo zina fanana fanana!

I am not an Architect, but I have been designing house plans for many years. When I built my house, it came out exactly the way I had envision it, and very very unique.
 
Jamaa ni sampuli ya wale watu wanaopenda kupata matibabu ya bure kwa njia ya simu. Huduma zinalipiwa mzee.
 
Kwa mtu anayetaka kunichorea Na kubuni vitu kwenye ramani yangua ani PM nitampa USD 50

Dah mkuu, au ulimaanisha USD 500? Hata hiyo haitoshi. Soma ushauri wa PlanckScale, Pia ili kupunguza gharama halisi za kuchorewa ramani "professionally" tembelea mitandao inayouza ramani za nyumba, unaweza kuona ramani mbalimbali; unachagua unayoipenda kisha unaenda kwa mchoraji mnanegotiate bei ya kuifanyia marekebisho ramani hiyo (it might be illigal-lakn kila mtu hufanya), obviously itakuwa cheap kidogo. Lakini pia hautapungukiwa sana kama ukiichora mwenyewe ramani kichwani, kisha unaistketch kwenye karatasi kulingana na mapenzi yako (kama unaweza) baadaye unaenda kwa mchora ramani ukiwa tayari na idea ya nini unahitaji.
Good Luck Mkuu.
 
Mimi nina kiwanja Heka mbili yaani nina kiwanja kikubwa sana maeneo ya Kwa msuguri na Mbezi nina Nusu heka ila kibaha ni cha kupima robo nafikiri si unjua viwanja vya serikali. Tafadhali sana wakuu na mtu akitaka kiwanja nitamuuzia miguu20 kwa 20 bei milioni 3 kipo mbezi Mpigi Magoe
Hatua napiga mwenyewe. Utaridhia kwa hili?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom