Naomba radhi Tume na Chadema

Soma heading Mjomba, Kasema anaiomba Radhi Tume na Chadema, Hajasema anawaomba radhi JF membaz, ila JF hapa imetumika kama chombo cha kufikisha habari kwa wahusika!

You cant tell, labda kuna uhusiano wa CDM na hili jamvi, au kuna uhusiano wa CDM na member wa JF. nafikili kuna maswali bado yanahitaji kujibiwa.
 
naamini bado uko AR waone Wananchi na waombe radhi sina hakika kama JF inahusika kwa hili,good idea posted in wrong place.
 
Danganya toto hiyo; hizo ndizo siasa za sewage system, achen uchonganishi usio na faida kwa wana Meru; hivi kwa maelezo yako kama suala lako lingekua ni la ukweli ndani yake wadhani DPP atakua amekosea kama ukpandishwa kzimbani kwa tuhuma za kutoa rushwa na kufanikisha shambulio la kujeruhi?
 
Kaombe radhi kwenye mkutano wa hadhara haidhuru hata wa chadema pia kama mwanachama mtiifu wa ccm uwaoneshe kadi yako, ukipenda karibu kwenye vita ya ukombozi dhidi ya madhalimu, humu JF tunatambua hila za CCM basi tusaidie kuwaambia wameru.
 
Mwananchi na Mtanzania waliandika Chadema yapiga mawe waandishi haya maneno yanatosha kuthibitisha ulikuwa mpango,kwa sababu waandishi wangetelemka wangewauliza wananchi viongozi wa chadema lakini hata habari yenyewe iliwekwa kwenye habari kuu ya Dr Slaa afunika Arumeru kwa magazeti yote uandishi wa aina moja ,hiyo picha inampa msomaji kiulizo walitaka wananchi wengi waisomee lakini kwa ujinga wa waandishi wetu ilikuwa diluted manake ilipachikwa kwenye kichwa chenye kuleta hamasa kwa wananchi
 
Mimi ni mwanachama wa ccm mwaminifu kabisa.

Tukio la waandishi kupigwa tumelipanga sisi tukiongozwa na katibu wa uvccm wilaya ya monduli Ezekiel Mollel kwa uratibu wa James millya ambae ndio ametoa sh.milioni 4 kunipa mimi na kuwatafuta vijana ambaye kila mmoja nilimpa laki laki kwa kazi hiyo.

Kikao cha kupanga hujuma hiyo ambayo lengo ni kuisingizia chadema tulifanyi Lush Garden kwa Idd alhamisi saa 6 usiku na nikapewa siku tatu kwa utekelezaji zaidi. Millya aliniambia pamoja na Ezekiel kuwa ameagizwa na mzee Sendeka kufanya tukio ambalo kwalo chadema watashutumiwa na kubambikiwa shutuma za fujo kwani ccm wamezidiwa na wamejaribu kila njia zimeshindikana.

NAOMBA RADHI PIA WAANDISHI. NAPENDA MAGEUZI NDO MAANA NIMEJITOKEZA KTK SAFU HII.

Hata katoto kangu ka miaka 4 katajua kwamba hii ni story ya kutungwa.
Mods peleka hii kitu kwenye jukwaa la jokes!!
 
Endelea kumtii huyohuyo Milya wako usituletee wehu wako hapa kama ungekuwa unapenda mageuzi ungezichukua hizo milioni kisha ukazipeleka kwenye M PESA kwa ajili ya michango ya chadema sio upuuzi huo ulioufanya kisha unaomba radhi itasaidia nini?
 
Usaliti at the peak!
Usaliti kwa CCM
Usaliti kwa CDM
Usaliti kwa wana Arumeru Mashariki
Usaliti kwa Watanzania
Usaliti hata kwa nafsi yako mwenyewe!
 
Ndugu Mujuni,Kwanza nashawishika,ila wewe unasema ni Mwanachama hai wa CCM tuwekee namba yako ya uanachama.
2.Nakupongeza kwa dhati kwa kujitokeza ndani ya JF ila nikushauri ili radhi yako ipokelewe
na wanaChadema itisha waandishi wa habari toa dukuduku lako tutaamini uyasemayo na tutakusamehe.nawasilisha

Kwa niaba ya wapenda amani wote nchini na wachukia siasa za majitaka natangaza rasmi kumsamehe huyu jamaa makosa yake yote. Ameonyesha kujutia kitendo alicho kifanya na anastahili msamaha. Sasa ni juu ya walengwa halisi CDM na NEC kumsamehe huyu jamaa kwani naye ni binadamu na ushawishi ulikuwa wa hela nyingi. Lazima muelewe kuwa huyu jamaa ni green guard na hawa walishaua watu kadhaa kule Igunga, kwa yeye kujitoa anastahili msamaha then pongezi
 
msamaha wa kweli ungekuja kwa jina lako! Wewe ni mpumbavu na upumbavu haukusaidii! Wewe lazima ni shoga, utawezaje kwenda kumpiga mtu asiye na hatia kisa muwasingizie wengine? Halafu unatumwaje na mwanaume mwenzio kitu cha kishenzi halafu unaenda kufanya kama sio shoga! Simama hadharani, wataje wote mliokuwepo kwenye kikao na majina ya waliopewa lakilaki ndio tutajua sasa umekuwa mwanaume!
 
ni vigumu kuliamini hili,kama kweli anataka asamehewe(kama kweli hili amelitenda) asiishie hapa tu aitishe hata press conference awaeleze A to Z ya jinsi mipango yao walivyoisuka mpaka kuifanikisha,japo inahitaji confidence ila kama kweli anajutia ni bora akafanya kitu kama hicho inaweza kumsaidia kwa kiasi flani kufuta hio dhambi
 
Back
Top Bottom