Naomba radhi Tume na Chadema

This sounds stupid and reflects a person who has not gone to school. No more comments. Keen
Sasa hapa shule imekujaje??yeye kaandika madhambi aliyofanya sioni uhusiano nashule labda ungejikita katika siasa na kumwambia siasa ajui!!ila wewe ndo na wasiwasi shule haijakusaidia kuwa na upeo,weledi!!
 
Ccm wanaweza sana kufanya hata zaidi ya hayo, lakini wataangalia sana mtekelezaji. mtoa mada kasimuliwa tu!
 
Tutajuaje kama ni kweli ? Mbona kama wewe ndio umelipwa useme uongo ili ccm ionekane wabaya ? Njoo kwa jina lako na uthibishe hayo maneno mbele ya waandishi wa habari . Lasivyo ni uchimvi kama kawaida.
 
Wandugu inawezeka huu jamaa akawa anajua kwa ukaribu mpango wenyewe ulivyokuwa unapangwa akaamua kuja kwa stlyle hii so cha msingi aje hapa atusadikishie kwani aikiwa alipewa hela yeye kama anavyodai tayari ccm watakuwa wameshamjua ajitokeze na ayaseme mbele ya waansdishi wa habari.
 
Mkuu kama kweli nakupa hongera kwa toba!! Ila tafadhari thibitisha hoja yako, kama unamaanisha toba ya kweli huna haja ya kuendelea kuficha lolote, ebu tuwekee ajenda ya kikao ilikuwaje, tutajie wahusika wa tukio na mpango ulioko mbele baada ya tukio lenyewe!!
Tafadhari usiwe MNAFIKI kama Mwakyembe!!

I 'LL BE BACK.
 
Mimi ni mwanachama wa ccm mwaminifu kabisa.

Tukio la waandishi kupigwa tumelipanga sisi tukiongozwa na katibu wa uvccm wilaya ya monduli Ezekiel Mollel kwa uratibu wa James millya ambae ndio ametoa sh.milioni 4 kunipa mimi na kuwatafuta vijana ambaye kila mmoja nilimpa laki laki kwa kazi hiyo.

Kikao cha kupanga hujuma hiyo ambayo lengo ni kuisingizia chadema tulifanyi Lush Garden kwa Idd alhamisi saa 6 usiku na nikapewa siku tatu kwa utekelezaji zaidi. Millya aliniambia pamoja na Ezekiel kuwa ameagizwa na mzee Sendeka kufanya tukio ambalo kwalo chadema watashutumiwa na kubambikiwa shutuma za fujo kwani ccm wamezidiwa na wamejaribu kila njia zimeshindikana.

NAOMBA RADHI PIA WAANDISHI. NAPENDA MAGEUZI NDO MAANA NIMEJITOKEZA KTK SAFU HII.
Unatoa sababu gani za kufanya tukuamini haya uyasemayo? Nitakubaliana nawe iwapo utatoa ID yako halisi. Usemalo pengine ni sahihi lakini ulisemavyo ndo inanipa shida.
 
hata mimi naweza kuandika kama ulivyoandika....nenda kaombe radhi wana-arumeru ili uadhibiwe kwa makosa yako. kwa kuwa umevunja sheria lazima upate adhabu halafu ndo usamehewe
 
Mimi ni mwanachama wa ccm mwaminifu kabisa.

Tukio la waandishi kupigwa tumelipanga sisi tukiongozwa na katibu wa uvccm wilaya ya monduli Ezekiel Mollel kwa uratibu wa James millya ambae ndio ametoa sh.milioni 4 kunipa mimi na kuwatafuta vijana ambaye kila mmoja nilimpa laki laki kwa kazi hiyo.

Kikao cha kupanga hujuma hiyo ambayo lengo ni kuisingizia chadema tulifanyi Lush Garden kwa Idd alhamisi saa 6 usiku na nikapewa siku tatu kwa utekelezaji zaidi. Millya aliniambia pamoja na Ezekiel kuwa ameagizwa na mzee Sendeka kufanya tukio ambalo kwalo chadema watashutumiwa na kubambikiwa shutuma za fujo kwani ccm wamezidiwa na wamejaribu kila njia zimeshindikana.

NAOMBA RADHI PIA WAANDISHI. NAPENDA MAGEUZI NDO MAANA NIMEJITOKEZA KTK SAFU HII.

Ndugu Mujuni,Kwanza nashawishika,ila wewe unasema ni Mwanachama hai wa CCM tuwekee namba yako ya uanachama.
2.Nakupongeza kwa dhati kwa kujitokeza ndani ya JF ila nikushauri ili radhi yako ipokelewe
na wanaChadema itisha waandishi wa habari toa dukuduku lako tutaamini uyasemayo na tutakusamehe.nawasilisha
 
Mimi ni mwanachama wa ccm mwaminifu kabisa.

Tukio la waandishi kupigwa tumelipanga sisi tukiongozwa na katibu wa uvccm wilaya ya monduli Ezekiel Mollel kwa uratibu wa James millya ambae ndio ametoa sh.milioni 4 kunipa mimi na kuwatafuta vijana ambaye kila mmoja nilimpa laki laki kwa kazi hiyo.

Kikao cha kupanga hujuma hiyo ambayo lengo ni kuisingizia chadema tulifanyi Lush Garden kwa Idd alhamisi saa 6 usiku na nikapewa siku tatu kwa utekelezaji zaidi. Millya aliniambia pamoja na Ezekiel kuwa ameagizwa na mzee Sendeka kufanya tukio ambalo kwalo chadema watashutumiwa na kubambikiwa shutuma za fujo kwani ccm wamezidiwa na wamejaribu kila njia zimeshindikana.

NAOMBA RADHI PIA WAANDISHI. NAPENDA MAGEUZI NDO MAANA NIMEJITOKEZA KTK SAFU HII.

Ni vizuri ukataja jina lako halisi kwani kama hao uliowataja wanajua ni nani walimkabidhi hiyo million 4, si automatically watajua ni wewe waliyekupa? (Angalia hapo juu in RED).

Angalia wasikukolimbe!!!!!!

Tiba
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom