Naomba nisamehe!!!!!!!

samehe kadri ya uwezo wako ila pima kosa lenyewe sio kila siku misamaha isiyoisha mtu huyohuyo kosa lilelile

Ni maneno mawili ambayo mara nyingi hutolewa na mtu anapokosea,
Tuzungumzie kwenye mapenzi
Unapokuta labda gf/bf/mume/mke wako anafanya kosa akakuomba msamaha unaweza kujisikia amani kwa kuwa mkosaji amekiri na kutambua kosa lake, hapo unaweza kumsamehe kwa moyo mweupe kabisa.

Lakini inakuwaje ukiwa na mpenzi anaeomba sana misamaha? Hapa namaanisha kila siku anakuwa anafanya makosa na kukuomba msamaha akisema harudii tena lakini hazijapita siku mbili kosa lingine, ukimweleza o sweety nisamehe sitarudia, unamsamehe, siku kadhaa tena kafanya kosa tena anaomba msamaha,

swali, hawa watu wanaokuwa warahisi wa kutenda makosa na kuomba misamaha kila siku wanafanya makusudi wakijua watasamehewa au?

Mi huwa sikubali samahani kirahisi rahisi namwacha ateseke mwaka mzima ndo nimsamehe

Sijawahi kupenda mimi nacho jua nikumega tu

ila mtu wangu kuna wengine huwa ni wakali hadi unaona bora upotezee baadhi ya makosa, sasa we ukijifanya unamringishia itakula kwako, inaweza kuwa ka Bow wow na 50 dhiti ciara.

mhh daily nisamehe kwa kosa lilelile?
iyo dharau..na anakuwa amaanish samahan zake cz anajua akiitamka tu sweetie nisamehe we unajibu ahh poa yamekwsha....MTU AKISEMA SAMAHAN INAMAANA STARUDIA KOSA ILO..
UYO WA SAMAHAN THEN KESHO TENA KARUDIA TENA NA TENA ...mhh kaa nae akueleze kwwa mapana ugumu wa kuacha io tabia...lazima kuna sababu la sivyo asingekubali kuendelea kukuuzi kwa kosa moja dail..pole

well said, hapo inakuwa dharau sasa!

ila mtu wangu kuna wengine huwa ni wakali hadi unaona bora upotezee baadhi ya makosa, sasa we ukijifanya unamringishia itakula kwako, inaweza kuwa ka Bow wow na 50 dhiti ciara.

Kijana usiwe mtumwa wa mapenzi.
Wanawake wengi siku hizi ukiwa unanyenyekea sana unaweza kufa kwa kiholo
Angalizo UKIMWI UPO NA UNAUA

assume imetokea hivyo utafanyaje?

Ikitokea naombwa msamaha kwa kosa hilohilo miaka nenda rudi inategemea na kosa ukubwa wake,kama ni kubwa sana nitahitaji kikao kirefu sana kabla ya msamaha na masharti kibao

Ikitokea naombwa msamaha kwa kosa hilohilo miaka nenda rudi inategemea na kosa ukubwa wake,kama ni kubwa sana nitahitaji kikao kirefu sana kabla ya msamaha na masharti kibao

akirudia tena?

so unaeza kuishi bila kukosea?jibu samehe tu maana makosa tunafanya sometimes bila kukusudia

kama unajua kukosea ni given kwanini uombwe msamaha. mimi nafikiri tofauti

sasa mfano umegundua mwenzio anarudiarudia kosa hilohilo utafanyeje ili asirudie tena?

Mpatie ushauri tena mweke chini ongea nae na kama inajirudia ni bora uamue kunyoa ama kusuka

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom