Naomba mwongozo wenu

Mh! nashindwa hata kukukaribisha, maana sijui kama nko ndani au nje. mi sikupiga hodi nilivyoingia na nimeshachangia mada kadhaa.
Wana JF naomba mnisamehe kwa kweli sikupata kujua hata kama kuna sehemu ya kubishia hodi, nilipoingia tu nilikuta mada kali sana nikaanza kuchangia na sikufanya utafiti mbaya zaidi nilikuwa natumia simu ya mkononi kwa hiyo nilikuwa natoka haraka baada ya kuchangia. naamini mtanipokea.

Karibu sana!!
 
Karibu sana Mwigulu.
 
Back
Top Bottom