Naomba mwongozo kuhusu Upatikanaji wa results slip kwa form four wa 2012

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,711
4,642
Husika na mada tajwa hapo juu. Je results slip zishaanza kutolewa?utaratibu wa utoaji ni ule ule wa Sikh zote wa Kwenda wizarani na si kwa Shula husika? Nawasilisha
 
Samahani,shuleni hamkupewa utaratibu wa kuchukua hizo RS? Wenzako wote uliomaliza nao pia hawajui wanachukulia wapi?

Nenda shuleni kwako.
 
Samahani,shuleni hamkupewa utaratibu wa kuchukua hizo RS? Wenzako wote uliomaliza nao pia hawajui wanachukulia wapi?

Nenda shuleni kwako.

Nashukuru kwa reply yako,ni suala la kijana hapa,si mimi moja kwa moja,nilidhan Huu mchakato una namna nyingine,thanks n way
 
Back
Top Bottom