Ushawai kuingalia "TYRANT"?msaada mwenye hii series naiomba please....naipenda sana
Ntaidownload hii
Mkuu shukrani, hiyo ndo season ya mwisho?? Kama una link ya season nyingine nisaidie tafadhali
sidhani kama ipo nyengineMkuu shukrani, hiyo ndo season ya mwisho?? Kama una link ya season nyingine nisaidie tafadhali
Wazee wa fursa!Njoo na 20buku nkupe na Muendelezo wake(Die another Day.
Umepata?nipo gongolamboto dar es salaam...!
Halafu wewe umefanana na jamalyUshawai kuingalia "TYRANT"?