Naomba mwenye kujua maana ya neno hili anijulishe

mbalila

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
823
157
naomba sana wakuu mwenye kujua maana halisi ya neno kafir anieleze ,kama hujui pita zako ,nimekuwa nikikutanaro sana hasa humu JF lakini kwa bahati mbaya sielewi maana yake
 
Ni aina ya wadudu fulani wenye mabawa makuuubwa kama uwanja wa mpira ambao huishi ndani ya madimbwi ya maji yanayotokana na mvua za masika.
 
Hebu jaribu kugoogle aisee mbalila, and btw, kwa nini ulichagua id ya mbalila?Nadhani ungetumia Kvango ingefaa zaidi. Au?
 
Last edited by a moderator:
hiyo niliweka alama nyekundu una maana gani?
mbalila, mimi nimekulia na kuishi wilaya ya rombo kijiji cha shimbi kwa kipindi baba anafundisha kilimanjaro boys sec school.Huko kuna ukoo maarufu wa kvango ambao pia hutumia majina ya nyongeza ya kvelia na mbalila.Nilipoona id yako nikadhani watoka rombo ukoo wa kvango.samahani mshikaji wangu kwa kukufananisha.
 
Last edited by a moderator:
mbalila, mimi nimekulia na kuishi wilaya ya rombo kijiji cha shimbi kwa kipindi baba anafundisha kilimanjaro boys sec school.Huko kuna ukoo maarufu wa kvango ambao pia hutumia majina ya nyongeza ya kvelia na mbalila.Nilipoona id yako nikadhani watoka rombo ukoo wa kvango.samahani mshikaji wangu kwa kukufananisha.

Habari yafo dhauuu
 
Last edited by a moderator:
MTU asiye muislam

asili ya neno kafir ni uarabuni lenye maana ya mtu asiye muumini wa imani fulani, kwakuwa neno hili linatumiwa sana na waumini ya dini ya kiislam basi maana rahisi ikawa ni mtu yeyote asiye muislam!
 
Ni kweli kwa maana hiyo ni mtu asiye muislam ,hebu turudi kwenye asili ya hilo neno Kafir kama inavyotamkwa kwa kiswahili,hili ni neno lenye asili ya lugha ya kiarabu infact wao husema Kuffar ,kufar ni mtu anayependa kukufuru kuhusu m/mungu kama vile kufanya vitendo kinyume na maamrisho ya m/mungu huyo ataitwa Quffar kwa kiarabu na kiswahili badala tumuite hivyo hivyo ka waarabu wanavyomuita sisi waswahili tunasema ni Kafir yaani mtu kinyume na muislam.Lakini hapo hapo ukitembelea mitaa ya kusini mwa afrika hilo neno lina maana yake ambayo ni kinyume kabisa na linavyotumiwa nchi za Afrika mashariki zinazotumia lugha ya swahili kama njia ya mawasiliano,huo ndio uwezo wangu wa hiyo tafsiri ya neno Qaafir.M/Mpamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom