naomba msaada

mfereji maringo

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
1,037
250
nimeformat laptop yangu lkn sikudelete os ya mwanzo, nahitaji kuidelete bila kuiformat upya na kubaki na os mpya, nifanyaje?
 
<p>&lt;p&gt;

&lt;/p&gt;</p>
<p>&lt;p&gt;&amp;nbsp;&lt;/p&gt;</p>
<p>unachotakiwa kufanya ni ku rescue data zako kwa removable h/d na kuzihifadhi kwenye coputer nyingine kisha fomat kama nia ni kuifomati,mambo ya os mbili za nini? piga chini hiyo weka fresh!</p>
 
nimeformat laptop yangu lkn sikudelete os ya mwanzo, nahitaji kuidelete bila kuiformat upya na kubaki na os mpya, nifanyaje?

Fungua local disk yenye OS, tafuta faili liitwalo OLD WINDOWS kisha lidiliti. Faili hilo lina OS ya zamani pamoja na vitu vyote vilivyokuwepo katika hiyo OS
 
asanteni, nitajaribu kwa sasa hakuna umeme kesho nitafanya mlivyo nambia, dah yaani jf ni kila kitu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom