Naomba Msaada

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Kuna jamaa yangu amekuwa rafiki wa karibu na binti ambaye ana asili ya Wameru! Urafiki wao hauna uhusiano wa kimapenzi, ila kutokana na ukaribu walionao anajisikia kuingia katika mapenzi na huyu binti, sasa ktk mazungumzo yetu alitaka kujua zaidi mabinti kutoka pande hizi huwa wakoje katika mahusiano na wana tabia zipi hasa ktk mahusiano... kama tujuavyo wa-bukoba, wa-kilimanjaro, wa- mbeya n.k. Mwenye kujua vzr hasa wanaoishi nao na waliowahi kuhusiana nao kimapenzi naomba msaada tafadhali..

Natanguliza shukrani!!

Kama litamkwaza mtu naomba alipotezeee, sina maana yeyote mbaya!!!
 
Here we go again...the same old crap!!

Unataka mahusiano na binti au kabila lake?! Nenda Meru ukawachunguze...
 
Mkuu naomba uelewe kuwa kuna mambo mawili kabila na tabia ya mtu ni vitu viwili tofauti ni bora ukajua tabia na mwenendo wa mtu kuliko kujua kabila fulani lina tabia gani maana hapo utajikuta unaambiwa vitu vingine visivyo na ukweli ndani yake kama amempenda aendele kuchunguza tabia yake akiridhika nae amuoe kutokana na tabia na mwenendo wake na sio kabila.
 
Mkuu, suala la mapenzi na tabia za wapenzi huwezi kuligeneralize fuatilia tabia binafsi na si anakotoka. Ukianza kufanya hivyo ujue hakuna ndoa! Avoid suspicions and skepticism when it comes to love!
 
Mmhhh

Si vema kutaka kujua chupi ya mwingine
ikoje hata kama zina rangi sawa labda
saizi ni tofauti.....

Kama anataka kujua kweli am date..

Hapa kila mtu atakija na zake.

Sehemu moja familia tofauti....
 
Tabia wala haiusiani na kabila,mwambie rafiki yako awache kua nafikira za ajabu ajabu asituchoshe akili.
 
Kuna jamaa yangu amekuwa rafiki wa karibu na binti ambaye ana asili ya Wameru! Urafiki wao hauna uhusiano wa kimapenzi, ila kutokana na ukaribu walionao anajisikia kuingia katika mapenzi na huyu binti, sasa ktk mazungumzo yetu alitaka kujua zaidi mabinti kutoka pande hizi huwa wakoje katika mahusiano na wana tabia zipi hasa ktk mahusiano... kama tujuavyo wa-bukoba, wa-kilimanjaro, wa- mbeya n.k. Mwenye kujua vzr hasa wanaoishi nao na waliowahi kuhusiana nao kimapenzi naomba msaada tafadhali..

Natanguliza shukrani!!

Kama litamkwaza mtu naomba alipotezeee, sina maana yeyote mbaya!!!

Kwani hao mnawajuaje? I mean wakoje hao? Pili kumbe kuna uniformity ya tabia za binadamu? Yaani kama unavyoweza kusema Mchele wa Kyela mtamu na pia binadamu inawezekana pia? Mh... Najifunza...
 
Hujanikera but nakushangaa ulivyolivalia njuga suala la rafikiyo. Mapenzi hayana urafiki wala ushauri hata tabia kama akikupendelea kukusiliza kwa dakika hata 2 juu ya hilo mueleze haya ajichunguze yy mwenyewe nn anapenda na asivyovipenda then a link na mwenzi wake kama wanacope at least by 60% Hiyo ni perfect couple kwani hizo 30 wanaweza kuadjust wakiwa pa 1 na 10 zinabaki katika natural difference ambayo ni inborn kwani hii ndo inafanya hata identical twins waliolelewa na kukua pamoja hawawezi kufanana kwa kila tabia na hulka nakaribisha mawazo
 
Here we go again...the same old crap!!

Unataka mahusiano na binti au kabila lake?! Nenda Meru ukawachunguze...

Pole sana kama wewe ni mmeru toa mawazo .... maana utabaki kusema crap! crap! mwishoe utajing'ata
 
Hujanikera but nakushangaa ulivyolivalia njuga suala la rafikiyo. Mapenzi hayana urafiki wala ushauri hata tabia kama akikupendelea kukusiliza kwa dakika hata 2 juu ya hilo mueleze haya ajichunguze yy mwenyewe nn anapenda na asivyovipenda then a link na mwenzi wake kama wanacope at least by 60% Hiyo ni perfect couple kwani hizo 30 wanaweza kuadjust wakiwa pa 1 na 10 zinabaki katika natural difference ambayo ni inborn kwani hii ndo inafanya hata identical twins waliolelewa na kukua pamoja hawawezi kufanana kwa kila tabia na hulka nakaribisha mawazo

Sijaziona njuga!!! ila kama rafiki naweza mtafutia ushauri!! please kama wewe ni mmeru naomba ushauri wako!! si ukabila ila ni vyema kujua tabia za clan flan maana zinamaana katika mahusiano! pole sana
 
Kwani hao mnawajuaje? I mean wakoje hao? Pili kumbe kuna uniformity ya tabia za binadamu? Yaani kama unavyoweza kusema Mchele wa Kyela mtamu na pia binadamu inawezekana pia? Mh... Najifunza...

Ni kweli maharage ya mbeya hayafanani na ya Kilimanjaro ..... hivyo utofauti upo tuuuuu!!!
 
halijanikwaza sana....lakini katika ulimwengu huu tuliopo kuna watu wana mawazo ya namna hii bado?....nimeuliza tu

Wapo wengi sana ..... mazingira na ualisia wa mtu unaweza kutoa tofauti hata ya kimawazo ... !!!
 
Tabia wala haiusiani na kabila,mwambie rafiki yako awache kua nafikira za ajabu ajabu asituchoshe akili.

Hv inapozungumzwa wanaume wa kikurya huwapiga wake zao, hapo tabia na kabila hazijahushwa...????????
 
sawa bana,..mara udini,mara ukabila,mara ukanda na mara ukitongoji............heri mimi ni binadamu tu
 
Tabia wala haiusiani na kabila,mwambie rafiki yako awache kua nafikira za ajabu ajabu asituchoshe akili.

hapo kwenye RED samahani.. inahusiana tena mnoooo..... labda huyu msichana amekuwa adopted na wazazi wengine na sio wa kabila lake...

malezi atakayo yapata kuhusu mila & desturi atakua nayo na ndio itakuwa tabia yake !.... NDIO MAANA WATU WENYE BUSARA WALISEMA NI NGUMU KUBADILI TABIA YA MTU!
 
Kuna watu bado mnazungumzia makabila??? Aisee!!!!!!!!!!!!!!

Mie umenikwaza tena sana...................

Mwambie Akimaliza kuchunguza wameru, aende kwenye dini, akimaliza achunguze warefu, wafupi wanene wembamba akimaliza achunguze weupe weusi aendelee na uchunguzi wake ataelewa.......................
 
Back
Top Bottom