naomba msaada

macinkus

JF-Expert Member
Sep 15, 2007
260
19
ninnaweza kusikilizana na nilinayo iphone 3G. imeacha ku "ring} simu ikiingia. mimi nikipiga naweza kuzungumza na niliye mpigia. naomba msaada ya jinsi ya ku "re-set" iweze ku ring kwa simu zinazoingia. nimejaribu hata kwenda kwenye "original setting" lakin wapi.

macinkus
 
ninayo iphone 3G. imeacha ku "ring} simu ikiingia. mimi nikipiga naweza kuzungumza na niliye mpigia. naomba msaada ya jinsi ya ku "re-set" iweze ku ring kwa simu zinazoingia. nimejaribu hata kwenda kwenye "original setting" lakin wapi.

Soma manual ya simu yako kama unayo. kama huna nenda kwenye tovuti ya iphone
Apple - Support - Manuals

Download manual ya simu yako utaelwa nini cha kufanya. Manual ni nyenzo muhimu ya kutatua tatizo lolote
 
Mkuu kama vipi fanya hard reset iwapo njia zingine zimeshindikana

Hard Reset

Note: These steps will delete the data off the phone, but you can Restore data using your computer.

Press and hold both the Sleep/Wake button and the Home button for about ten seconds. The apple logo will appear and your iPhone 3G S will be reset.
 
kuna button ya mute ipo pembeni icheki labda ulichange position bila kujua
 
Angalia button pembeni ya simu yako upande wa kushoto hakikisha iko juu na uongeze sauti.
 
Back
Top Bottom