NAOMBA MSAADA WENU WATAALAMU WA SIMU ZA SUMSUNG GT-3212i

KWELIMT

Member
Feb 16, 2011
89
34
Habari zenu wana jf!

Nawaombeni sana ndugu zangu kwa yeyote anayeweza kunisaidia kuondoa tatizo kwenye simu yangu SUMSUNG GT 3212i.

Tatizo:kuna wakati it may take 10 seconds inaandika dsn unavailable sasa inanikera sana,plz kama kuna mtu anaijiua vizuri anisaidie namna ya kuiset.

Nimejaribu nimefika mwisho wa utundu wangu kwenye simu,tafadhali naomba msaada wenu.

nawasilisha .
 
ni dsn au dns? Kama ni dns inamaanisha domain name server na mara nyingi inakua kwenye email, setting za internet au huduma nyengine inayokufanya ucommunicate through internet

Jaribu kuchunguza kitu kipya ulichodownload au ulichoconfigure hivi karibuni then delete it
 
Ni DNS kaka kama ulivonicorrect.

Ahsante sana ndugu yangu,ngoja nikacheki settings.
 
Back
Top Bottom