Naomba msaada wenu wadau!!!

Mpaki

Member
Jul 17, 2011
28
1
Mi ni mvulana wa miaka 28, Niko single ninatatizo linanisumbua sana na kunifanya nikose amani pindi nikiwapo na faragha, uume wangu huwa unasumbua sana kusimama kila niapofanya mapenzi kwa round ya pili na kuendelea hii huwa inatokea sana kwa mwanamke niliyemzoea ILA nikifanya kwa Mwanamke mpya hali huwa safi kabisa, sasa nashindwa kuelewa tatizo hasa ni nini? Nimewahi kujichua hapo kabla hii inaweza Kuwa athari mojawapo? Nifanye nn tatizo hili liishe? Naomba msaada wenu!
 
Mimi sio mtaalamu wa afya but nadhani una tatizo la kisaikolojia ambalo yawezekana limetokana na kujichua.Fanya mpango umwone mshauri wa kisaikolojia anaweza kukusaidia kukupa ushauri mzuri wa kuiweka akili yako vizuri au wasiliana na Mzizimkavu!!!!!! Pia tabia ya kubadilisha badilisha wanawake sio nzuri ndugu yetu,jiulize mko wangapi.Tulizana!!!!
 
Utakua umerogwa kwa tabia yako ya uzinzi na kubadili badili wanawake. 28 yrs is too early kwa matatizo hayo
 
Mi ni mvulana wa miaka 28, Niko single ninatatizo linanisumbua sana na kunifanya nikose amani pindi nikiwapo na faragha, uume wangu huwa unasumbua sana kusimama kila niapofanya mapenzi kwa round ya pili na kuendelea hii huwa inatokea sana kwa mwanamke niliyemzoea ILA nikifanya kwa Mwanamke mpya hali huwa safi kabisa, sasa nashindwa kuelewa tatizo hasa ni nini? Nimewahi kujichua hapo kabla hii inaweza Kuwa athari mojawapo? Nifanye nn tatizo hili liishe? Naomba msaada wenu!

Ingekuwa tatizo ni kujichua basi tatizo hili lingekutoa unapokutana na mwanamke yeyote awe Mpya au wa zamani. Nalazimika kuamini kuwa tatizo lako ni la kisaokolojia zaidi kuliko kibaiolojia! Tafuta washauri wa mambo ya saikolojia na mahusiano wakushauri.
Pia jaribu kuacha tabia ya kubadili wanawake na jipe muda wa kupumzika kidogo kufanya hilo zoezi halafu ujaribu tena uone kama kuna mabadiliko.
 
Hali ya mazoea na kumchoka mtu kwa haraka ndio inakusababishia hio shida.
 
ah ndio wale ukishamvua demu chupi hana jipya tena machini pako maana wee ndio lilikuwa lengo lako. sasa wee sii umesema huna tatizo ukiwa na demu mpya...basi endelea kuwa una onja K tofauti mara kwa mara upate raha ya utamu
 
Tatizo lako ni la kisaikologia zaidi ambalo limesababishwa na tabia yako ya kubadilibadili....., ambao kila mmoja ana manjonjo tofauti na mwingine..na hiyo inakufanya utafute manjonjo mapya kila wakati kwa sababu imeshakuwa ndio mazoea na tabia yako...hiyo ndio imekuharibu!!! Dawa yake ni kuacha mara moja, funga na kuomba pepo la ngono likutoke.Jishughulishe na mazoezi ya viungo na mambo kama hayo ili akili yako iwe busy....vinginevyo hata ukioa utaendelea na tabia hiyo....na ndio utakuwa mwisho wako!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom