Naomba msaada wenu tafadhali!

nkombemaro

Member
Nov 1, 2010
26
0
Najua kila binadamu ana akili ya kufikili na kupembua mambo muhimu katika maisha yake,nina maaana kuwa kila mtu anahitaji kuishi maisha mazuri sana na ndo maana kila siku tunafanya kazi ili tule.Lakini huwezi kula kama serikali yako haikujali kwa katika kukurahisishia maisha kwa kukupa au kukufanya upate kwa urahisi mambo yote unayohitaji muhimu. Mimi swali langu ni je,wana CCM ambao ni wananchi kama mimi hawaoni haya matatizo yote ya serikali yetu au ukiwa mwananchama basi maisha yako yanakuwa mazuri?

Mimi naomba kujua jamani kwa maana kila suala la maendeleo likijadiliwa katika nchi yetu wanaCCM wanapinga kwa nguvu zote mpaka mimi najiuliza hawa ni raia au wana njia nyingine za kuishi? mfano Richmond,Dowans,katiba hayo ni mambo machache tu nimetaja sijaja kwenye madini bado!
 
Ni simpo tu mkuu ila elewa luwa wanaccm ni watz halisi kabisa ISIPOKUWA wapo kwa ajili ya maslahi yao na si ya watz! Hii keki wanakula wao tu badala ya watz wote kufaidi. Jiulize kama waliwahi kutoa tamko lolote kuhusu malipo ya wale wazee wa eac ya zamani. Lakini juzi tu nec wanasimama na kutetea malipo kwa dowans wakati bunge lilishaamua baada ya kushauriwa na kamati ya dr Mwakyembe kuwa mkataba ulikuwa BATIRI!
 
Back
Top Bottom