Naomba msaada wenu kwa anayejua

ALF

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
207
136
Habari wana jamii ninahitaji mbao za trited 4X4 kati ya Ft 18 mpaka 20 PC 200 nina 2,000,000/= nipo D.S.M simu 0715 934398.
 
treated au? Ni aina gani ya mti inaitwa trited na teated inapatikana mkoa gani
 
Ninamaana ya mbao iliopikwa kwa dawa kuzuia isishambuliwe na wadudu?. Nahitaji kwajili ya kupaua nyumba.
 
Habari wana jamii ninahitaji mbao za trited 4X4 kati ya Ft 18 mpaka 20 PC 200 nina 2,000,000/= nipo D.S.M simu 0715 934398.
zipo ambazo haziko treated, je waweza kuchukua, je usafiri utalipa? maake zipo kilosa
 
Hizo za kilosa ni lazima nifahamu kuwa kwa hizo pc 200 nitapata kwa kiasi gani? Na zina urefu gani? Baada ya hapo ndio nitapiga gharama ya usafiri kutoka kilosa mpaka hapa Dar, ningependa kufahamu je mali ya sili hawatanidai kibali? Wakajua mimi naenda kufanya biashara kumbe mimi nataka kufunikia kibanda changu.
 
hii size ya 4x4 ni kwa unit gani "inches"? unless otherwise hii size lazima ni special order kwani kwenye market mbao zinazopatikana ni 2x2, 2x4,2x6,1x8 and 1x10-12 inches na hii ni mbao aina ya softwood (pine) zinaweza kuwa treated au just rough
 
Samahani kulikuwa na makosa kipimo sahihi ni 4X2 ft 18 mpaka 20, huku kwetu tegeta ft 20 @ 15,000 na Buguruni ni 13,000, huwezo huo sina cause nikataka mbao 200 kwa 2,000,000 ndip uwezo wangu ulipolomea, mahitaji haswa ni 4X2 PC 150 na 2x2 PC 100 nitakachofanya baada ya kupata hizo mbao PC 200 nitato PC 50 ambazo nikipasua 2X2 nitapata PC 100.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom