Naomba Msaada wapendwa

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Habari wanaboard

Ninawaomba mnisaidie naona akili yangu siku hizi inasizi.
Kuna ule usemi usemao :A way to Man's Heart is through his Stomarch......... mimi siuelewi jamani naomba mnisaidie una maanisha nini?

Aksanteni
 
Naona hapa ni Kiblurey zaidi na kinoname.
Unaweza iweka kwa kiswahili tafadhali? lugha yetu ya taifa.Halafu twende sawa.
 
mie nilifikiri unataka mchango wa harusi kumbe ni issue ya kidhungu

mie mwenyewe walimu wangu walikuwa dizaini ile ya square root kidhungu mbele akiendi nyuma akirudi
 
Mi nikishibaga tu baaasiiii!!
Yani mapochopocho, madikodiko, mi mtima wangu mali yako mama!!
Haijalishi kama wapika weye! ukihakikisha vinakuwepo mezani, kama vile mimi
nitahakikisha vinakuwepo kwenye friji, mi kwishnei!!
 
Jamani Charity sijui ngoja nijaribu kutafsiri

Wanasema : Njia ya kuufikia moyo wa mwanaume ni kupitia tumbo lake........... kama sijakosea.
 
mie nilifikiri unataka mchango wa harusi kumbe ni issue ya kidhungu

mie mwenyewe walimu wangu walikuwa dizaini ile ya square root kidhungu mbele akiendi nyuma akirudi
Funzadume hapana mchango wa arusi???? No way kabisa

Eti nikitaka kuufikia/kuuteka moyo wako (sasa sijui kimapenzi au kivije) ni kupitia tumbo lako sasa sijui ni mapishi yaani hata siuelewi mie kabisa
 
Mi nikishibaga tu baaasiiii!!
Yani mapochopocho, madikodiko, mi mtima wangu mali yako mama!!
Haijalishi kama wapika weye! ukihakikisha vinakuwepo mezani, kama vile mimi
nitahakikisha vinakuwepo kwenye friji, mi kwishnei!!
So ni through maakuli eh? Sasa hii ni applicable kwa wanaume wote au baadhi kaka Bigirita?
 
Habari wanaboard

Ninawaomba mnisaidie naona akili yangu siku hizi inasizi.
Kuna ule usemi usemao :A way to Man's Heart is through his Stomarch......... mimi siuelewi jamani naomba mnisaidie una maanisha nini?

Aksanteni

kwa taaluma ya kidaktari nazani inamaanisha ,ukitaka kufanya operesheni ya moyo ni lazima ukachane na kautumbo japo kidogo.
kwenye taaluma ya mahusiano SINA JIBU. dikshineri langu la mahusiano limeibiwa.

BTW: hiyo spelling ya stomach nadhani umeikosea kidogo.
 
Aksante kaka ndio kweli nimekosea thanx.
 
Habari wanaboard

Ninawaomba mnisaidie naona akili yangu siku hizi inasizi.
Kuna ule usemi usemao :A way to Man's Heart is through his Stomarch......... mimi siuelewi jamani naomba mnisaidie una maanisha nini?

Aksanteni

huo msemo maana yake ni kuwa njia ya kuingia moyoni kwa mwanaume ni tumbo lake......yaani UKITAKA MWANAUME AKOLEE MLISHE/MPIKIE VIZURI......kwangu ina-apply nikipikiwa msosi mzuri nakuwa na feeling fulani nzuri ajabu,sijui wengine.
 
:A S 33:
kwa taaluma ya kidaktari nazani inamaanisha ,ukitaka kufanya operesheni ya moyo ni lazima ukachane na kautumbo japo kidogo.
kwenye taaluma ya mahusiano SINA JIBU. dikshineri langu la mahusiano limeibiwa.

BTW: hiyo spelling ya stomach nadhani umeikosea kidogo.

hahaha Klorokwin umeniachekesha .. mi ndo sielewi maana yake hata kidogo ....pamoja na kutafisiliwa lakini ingekuwa mtihani ningepata zero plus
 
Naona hapa ni Kiblurey zaidi na kinoname.
Unaweza iweka kwa kiswahili tafadhali? lugha yetu ya taifa.Halafu twende sawa.
Hapo kwenye RED ngoja aamke!!
Back to the mada.....yeah hiyo ni moja kati ya sababu ya ku-win!!
 
Mjukuu shkang!

Naomba ustuke kidogo kuhusu tumbo linalozungumziwa hapo. Watoto wakilala unistue nikuambie.
Usimnong'oneze......useme kwa nguvu wote wapate elewa!!
MJ1, huyu bado ana-hang over, usimsikilize bana!
 
So ni through maakuli eh? Sasa hii ni applicable kwa wanaume wote au baadhi kaka Bigirita?
Hebu nisome hapo chini unielewe vizuri. Kuna maakuli ya namna mbili ujue...... Stuka!!!

Mjukuu shkang!

Naomba ustuke kidogo kuhusu tumbo linalozungumziwa hapo. Watoto wakilala unistue nikuambie.

Usimnong'oneze......useme kwa nguvu wote wapate elewa!!
MJ1, huyu bado ana-hang over, usimsikilize bana!
Kuna wengine humu bado hawajatahiriwa, hawapaswi kusikia ya wakubwa

Duh!! nafikiri, 60% flani inakuwaga hivyo, wengine ni thru the throat!! yani, maneno.....aka VUVUZELA laini laini lakini!!
we mdanganye tu. Shauri zake akikuamini.
 
Ah Kweli Babu ukubwa dawa yaani mwenzio wala sikuwahi kufikiria huko kwingine loh..... hadi naona aibu kuuliza.
 
Back
Top Bottom