William Mhandeni
Member
- Dec 5, 2016
- 5
- 0
Naomba msaada Wandugu, Jogoo wa Chotara anaweza kuhudumia mitetea wangapi?
Mimi ni mfugaji wa kuku chotara,jogoo 1 kwa tetea 20 ndio standard kakaNaomba msaada Wandugu, Jogoo wa Chotara anaweza kuhudumia mitetea wangapi?
Kwa mitete ya Kuku wa Kienyeji si ndio Ndugu?Mimi ni mfugaji wa kuku chotara,jogoo 1 kwa tetea 20 ndio standard kaka
Sukrani NduguUwiano wa majogoo na mitetea ni 1:10
Ratio nzuri ni kati ya 1:7 mpaka 1:10 . Nina kitabu kimoja cha Heiferrvkina hatua kwa hatua ya kupata hadi kuku 240 kwa mwaka kwa kutumia kuku mmojaNaomba msaada Wandugu, Jogoo wa Chotara anaweza kuhudumia mitetea wangapi?