Chukua sabuni ya omo kiganja kimoja,
Changanya na ndimu alafu na maji lita 2,
Weka simu yako ukiwa haina betri
iache kwa muda wa masaa 24.
then itoe na iache ikauke.
Alafu iweke laini yoyote
Chukua sabuni ya omo kiganja kimoja,
Changanya na ndimu alafu na maji lita 2,
Weka simu yako ukiwa haina betri
iache kwa muda wa masaa 24.
then itoe na iache ikauke.
Alafu iweke laini yoyote
duh!Chukua sabuni ya omo kiganja kimoja,
Changanya na ndimu alafu na maji lita 2,
Weka simu yako ukiwa haina betri
iache kwa muda wa masaa 24.
then itoe na iache ikauke.
Alafu iweke laini yoyote
Chukua sabuni ya omo kiganja kimoja,
Changanya na ndimu alafu na maji lita 2,
Weka simu yako ukiwa haina betri
iache kwa muda wa masaa 24.
then itoe na iache ikauke.
Alafu iweke laini yoyote
hili ni jukwa la wataalamu, kama wewe hujui kitu kama mimi basi unatakiwa ukae kimya uwe mtazamji tu.
Miss x yupo sahihi. kwanza tigo hawana simu za mchina. na kama zipo mnisamehe. au ni ya wizi?
MR unazijijua bidhaa feki? Au unadhani kila kinachotengenezwa china ni feki, u're wrong.Acha kununua bidhaa feki
mkuu muanzisha mada ameona jukwaa hili litamsaidia kwa shida yake kama itawezekana lakini anatokea mtu anajibu utumbo na wengine wanamsapoti nafikiri kisa ni miss.
Hili ni jukwaa la kitaalamu kama hujui solution yake kaa kimya.
Watu walio zoea jukwaa la upenuni utawajua tu post zao wakija majukwaa mengine
hapana mkuu tupo pamoja, nimekunukuu kuongeza msisitizo kwa ulicho komenti ni sahihi, kama kuna mtu anapenda utani na kucheka basi jukwaa lake lipo aende huko, thats all mkuumkuu vp! Mbona umeninukuu mimi!, kuna Kitu mbaya nimeongea?. Hebu zipitie tena comment zangu.
Nimenunua simu ya kichina. Imelokiwa kutumia SIM card ya tiGO tu. nataka iwe inapokea laini zote.
Inaitwa MI au Mi-Q+
Imetengenezwa na Mi-Fone company
IMEI: 357213030445512.
TAFADHALI NISAIDIENI Wakuu
Chukua sabuni ya omo kiganja kimoja,
Changanya na ndimu alafu na maji lita 2,
Weka simu yako ukiwa haina betri
iache kwa muda wa masaa 24.
then itoe na iache ikauke.
Alafu iweke laini yoyote
Inaitwa MI au Mi-Q+Weka sasa jina lako halisi hapa tukusaidie kuchakachua !
kucheka 2nacheka tu!kwe kwe kwe!! Nyie mnaong'aka msaidien bac!