Naomba msaada wako

Milestone

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
379
407
Nimechaguliwa ktk chuo kimoja ila tatizo linaloniumiza ni kukosa mkopo ! Hivyo naombeni msaada wa jinsi ya kuappeal au njia nyngne ninayoweza kuitumia ili nipate mkopo kama wenzangu !
Thanx in advance
 
ok kwanza wanasema kuwa wanyaanda majina ya waliokosa kbxa mkopo watayatoa vry soon den kuanzia trh 1 bac milango itakuwa wazi km unataka ku appel unachotakiwa 2 ni kwenda na buku 5 kwa ajili ya kulipia ku appel
 
buku 5 analipia kupitia m-pesa, ukicheki kwenye web utapewa maelekezo.
Ingawa appeal inafanyika ukiwa chuoni, na loan desk wa chuo ndio anatakiwa asubmitt form zenu,

so fanya registration mapema chuoni mapema then mwone loan officer wa chuo chenu.
 
xaxa mbna wanasema tna trh 1 oct heslb ni kwaajili ya nn jaman? na pia cc ndo 2naingia vyuoni na chuo kinafunguliwa 8 oct xaxa ntaenda 2 kwa loan officer wa chuo kivipi ebu dadafueni vzur
 
Back
Top Bottom