Naomba msaada wa Windows 7 Ultimate

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
345
tafadhali wanaJF, naomba msaada wenu. nime-install Windows 7 Ultimate. Napata message ya kwamba siyo genuine ingawa inaji-update automatically. Nifanyeje? msaada tafadhali.

Natanguliza shukrani.
 
Kopi uliyoitumia imechakachuliwa ndio maana yake kamanda. Kama kipochi kinaeleweka, ni inabidi tu ukanunue ya kweli, ama zima automatic update.
 
mkuu natumia simu kwasasa siwezi kukupa link.
hebu google hiyo msg uliyopata kwa kuanza na how to remove.....kisha malizia na hiyo msg unayopata utapata site zenye solution ya tatizo lako
 
tafadhali wanaJF, naomba msaada wenu. nime-install Windows 7 Ultimate. Napata message ya kwamba siyo genuine ingawa inaji-update automatically. Nifanyeje? msaada tafadhali.

Natanguliza shukrani.

easy.go and download windows 7activator..install it.utakuwa umemaliza.google windows activator download.
 
tafadhali wanaJF, naomba msaada wenu. nime-install Windows 7 Ultimate. Napata message ya kwamba siyo genuine ingawa inaji-update automatically. Nifanyeje? msaada tafadhali.

Natanguliza shukrani.

Mkuu kama hujafikisha siku 30 au 60 wanazokupaga kama trial...Unaweza ku google window 7 activator.U will be happy...Mambo rahisi.
 
google windows 7 loader...hata dkk 10 hazitaisha!utakua upo hacktivated!
 
Back
Top Bottom