Naomba msaada wa vitabu vizuri vya historia.

T1986MCK

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
210
259
Salaaam wana historia wa hapa jf.
Mimi siyo mwana historia lakini ni miongoni mwa wapenda historia. Nilienda upande wa afya. Nilisoma historia hadi f4. Kuna vitu napenda kuvijua kwa undani. Kwanza ni development of capitalism in Europe. Namna ilivyoanza hadi kifikia hatua ya juu.

Nini kilitokea ulaya hadi wakaamua kuja kitawala Africa in 1890s na siyo kwenda kutawala America ya kisini. Mambo ya scramble for and partition of Africa; colonial economy; African nationalism; nasikia kuna tofauti kati ya Africa nationalism and European nationalism; na mambo mengine ya kihistoria.

Wataalamu niambie vitabu vizuri lkn visiwe vya Nyangwine. Ntavinunua nkiwa free nyumbani nisome nielewe haya mambo. Naipenda sana historia. Asante sana wadau.

Amani iwe kwenu.
 
Back
Top Bottom