Naomba msaada wa mawazo (kisheria) ktk hili lifuatalo

Kuna kanuni inaitwa none est factum, watafute wataalamu waangalie kama wanaweza kuitumia.
 
Kaka utapoteza muda wako buree kupambana na "system", na hutaambulia kitu. Ni PM nikupe maelezo practical zaidi.
 
Back
Top Bottom