Naomba msaada wa kupata namba ya waziri kivuli wa elimu au wa kazi

Pukudu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
3,148
2,219
husika na heading hapo juu kwa niaba ya walimu wenzangu tulioajiriwa january mwaka huu tumedhulumiwa stahili zetu kwa hiyo naomba mwenye contact za waziri kivuli wa elimu au waziri kivuli wa kazi anipatie ili tuweze kuwasiliana naye tutoe maduku duku yetu coz hata mbunge ambaye ni wa ccm ameshindwa kutusaidia
 
mh Regia nafkiri hata wewe unaweza ukatusaidia naomba sana kama ukicome accross hii post ureply ili ujue utatuasaidia vp
 
Mkuu,
Nimefurahi sana kwakuwa umerespond ila nitakuwa mnafiki kama sintaeleza kushangazwa kwangu kwa muda ulivyoenda! Nadhani si sawa.

Possibly hakuiona hii thread.
 
Back
Top Bottom