Naomba msaada wa kupangiwa matumizi

Dah kwanza utakopaje pesa ya kuanzia maisha ya kupanga na wakati unaweza kukaa home kwanza kwa wazaz halaf hyo pesa ufanyie biashara na ikikua ndio utoke hapo nyumban ukapange. Mimi ninafanya kazi sehem nzur tu na nina mwaka wa 2 tangia nimeanza kazi, na mshahara wangu ni mzur ila siwez kuhama home na kwenda kupanga kwasababu bado nina save pesa tena nying sana ili nianze biashara hapo mwakani kwahyo ile pesa ambayo ningepanga chumba ndo hyo ambayo niko nafanya saving, mwakani nifanye biashara ya kuongeza kipato then hihame home.

sikushaur kupangilia mahesabu ya kuanzia maisha hyo pesa ambayo ni kama ya mkopo. pesa ya mkopo haitakiwi kuguswa kwa jambo ambalo halikukusudiwa kwa lengo la kuikuza ili uweze kulipa riba.

Pili unatakiwa uishi maisha yako na usimgeze mtu jinsi anavoish, jibane sana na usifanye manunuz yasiyo ya lazima kama kununua nguo na viatu au starehe, hvo vitu vipe likizo kwa muda kwan hayo mambo yapo na utayafanya pale mtaji utakapokuwa mkubwa sana.

Mimiimefikia kipindi hata nguo nzur iweje sinunui kama sikuwa na plan nayo, sehem za starehe siend
mkuu asante sana! kuhusu la kuanza maisha ni kwamba mimi niko huku Dar ila nyumban ni mkoani! kwa hiyo nimekuja kutafuta maisha tu mkuu!! kuhusu kupanga ni muhimu maana hapa nakaa na washkaji tu alafu panabana saaaana yaan
 
Back
Top Bottom