salaam
samahani wana Jamiiforums ,nimepata kiasi cha sh milion 2, nimepewa nikaanzie maisha ila sasa hapo natakiwa nitoe na kodi ya chumba na niangalie nifanye biashara gani!
Binafsi nimepiga mahesabu naona hayaingii vizuri kwa sababu natakiwa kuwa nafanya marejesho maana mzazi kanichukulia mkopo!
Naomba mwenye uzoefu na hali kama hii aweze kunishauri au kunipangia bajeti ya hizi hela katika makundi yafuatayo
a) kodi ya chumba na vitu vya ndani vya kuanzia maisha
b)aina tofauti tofauti ndogo ndogo ntakazoweza kufanya hata kwa kuajiri vijana tofautitofauti ili niweze kufanya marejesho vizuri kwa mwezi na kupata faida!! natakiwa kurejesha laki tatu na nusu kwa mwezi!
naogopa kufanya kitu kimoja alafu kikaja kikabuma nikashindwa kurejesha mkopo huo!!
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, sina familia wala mchumba nipo tu mwenyewe!
karibu!!