Naomba msaada wa kiufundi

peacebm

Member
Jan 31, 2010
57
9
Nina LCD TV ya Sharp model LC-32GA6E imepata tatizo leo inatoa sauti lakini haitoi picha. Naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi wa kiufundi anisaidie kutatua tatizo, nipo Dar namba yangu 0787662663, e-mail peacebm@yahoo.com
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom