Naomba msaada wa hili jambo kuhusu udsm tafadhali

MUHOGOJ

Member
Sep 13, 2011
11
3
Jamani habari!

Kama kuna mdau yeyote aliye karibu na uongozi wa UDSM anisaidie, nahitaji kujua UDSM calendar yao ya mwaka huu unaoanza (new academic year, Je semester one wanafunga lini? na semester two inaanza lini na kuisha lini. Its very important jamani. Kuna watu nimewauliza wanasema semester one inaanza october 10 its ok but hawana majibu mengine zaidi ya hapo na niko mbali kidogo
 
Yan hata masomo hayajaanza we tayari unafikiria kufunga?
 
hiyo ni ngumu kidogo kujua. ingeingia kwenye web,angalia schools mojawapo na utafute almanac. otherwise ingia kwenye we uchukue namba ya simu upige uwaulize.maybe watakua na jibu.tahadhari: hizo tarehe huwa hazizingatiwi sana.na usim'bane dogo hela ya allowance za msosi,kuna siku atakua anakula double kutokana na ugumu wa ngwe,lol
 
then inawezekana almanac haijatoka bado. kumbuka huu ni mwaka 2011/2012. na almanac ya school/faculty ndo itakua na ratiba kama hizo,manake zinatofautiana. hawawezi kuwa na ya chuo kizima kama shule ya msingi miembeni.
QUOTE=ammah;2535872]http://www.udsm.ac.tz/
undergraduate/2010-2011_udsm_almanac_
detailed_text.pdf
kwenye hio link kuna ratiba yote[/QUOTE]
 
hata kama siko familiar vizuri na UDSM lakini nadhani kila kitu kipo kwenye Almanac, so jaribu kupitia kwenye mtandao wao!
 
Jamani habari!

Kama kuna mdau yeyote aliye karibu na uongozi wa UDSM anisaidie, nahitaji kujua UDSM calendar yao ya mwaka huu unaoanza (new academic year, Je semester one wanafunga lini? na semester two inaanza lini na kuisha lini. Its very important jamani. Kuna watu nimewauliza wanasema semester one inaanza october 10 its ok but hawana majibu mengine zaidi ya hapo na niko mbali kidogo

nenda kwenye website ya chuo na fungua almanac ya chuo utaona kila kitu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom