Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

Ha ha ha, Mtoboasiri, unataka unitoboe kwa siri??

Wee nishauri hapa hapa live on stage, hiki kimoja kinataka kunivunjia ndoa, nikiongeza wakawa wawili na watoto ntawakataa.

Kongosho, kama upo serious naomba uni-PM. Ushauri wangu kwa mambo ya namna hii si wa kuuweka hadharani!
 
Last edited by a moderator:
Asante kaka Kennedy kwa ushauri wako, nashukuru umenielewa.

Ndio nimeamua kukusanya busara hapa walau nijipange.

Nadhani busara itawale sana,ndoa yako lazima uendelee kui-repair halafu huku kwa jamaa pia endelea. Nafsi yako kwasasa imefika Chalinze halafu unataka kwenda Morogoro na Tanga kwa wkt mmoja,ndiyo maana nasema busara itawale pia usiwaache. Unajua mtu akijua una house yako akaridhia mahusiano basi yanakuwa namna hiyo. Ni mtazamo tu msijenge...
 
Last edited by a moderator:
E bana e,kumbe Asprin hatumii kondom? Kupotea kote jamvini konnie kumbe ulikuwa unachoropoa mimba?
Kudadadadaddeki ccm hoye,
Niendelee kumlipua kongosho nisiendeleee? Kudadadadaddeki!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Asante MUREFU, yaani nimejichanganya hadi sijui nijitoje.

Nilimdharau yule kibuzi sababu nilimwona si hadhi yangu, kumbe najichimbia kitu nisichokijua.

Yaani, ile mimba ilinichanganya sana, maana nilikuwa najificha mume wangu asijue, yule kaka naye hakuwa anataka nitoe maana hajajaaliwa mtoto.

Basi ilikuwa vurugu tupu.

kiukweli itachukuwa muda sana wewe kumsahau ila njia rahisi ni wewe kutulia na mume wako na jitahidi sana ikiwezekana badili namba ya simu na uhakikishe muda mwingi unasipendi na mume wako katika kupanga mchakato wa maendeleo na pia hata kwenye mahusiano ninajua ile mimba uliyotoa ndio inayokuchanganya ila jitahidi kuwa karibu sana na mume wako
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe, sikutaki hapa kabisa, niache nishauriwe mie.

Huyu mzee wa Fyatanga anataka niachike.

E bana e,kumbe Asprin hatumii kondom? Kupotea kote jamvini konnie kumbe ulikuwa unachoropoa mimba?
Kudadadadaddeki ccm hoye,
Niendelee kumlipua kongosho nisiendeleee? Kudadadadaddeki!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hapa hakuna msaada, tumsubirie nyani ngabu aje amuwekee mume wako ile clip ya "babu jinga" alomwekea bishanga.

Wanawake bana! mi ndo maana waifu akinambia I love u nakuwa naguna tu.Lakini Mungu atatulipia wanaume
 
Tena inaniuma kwa sana, eyaaaa......nikitoka naenda kumwambia baba, eyaaaa!! Naenda kusema kwa baba, kusemaaa!! Naenda kusema kwa baba, kusemaaa!!!
 
OTIS, afya ya ndoa yangu iko ICU unadhani nachekesha?

Kuna wakati namnyima uhausi mume kwa wiki 3 hadi mwezi. Afu nikiwa peke yangu najilaumu, naona kazisa simtendei haki lakini usiku akinigusa naruka kama kanichoma na miiba.

Yaani, vingine hata kusema naona aibu.

Kama nia ilikuwa ni kunichekesha basi umefanikiwa sana
OTIS
 
Last edited by a moderator:
Hapa hakuna msaada, tumsubirie nyani ngabu aje amuwekee mume wako ile clip ya "babu jinga" alomwekea bishanga.

Wanawake bana! mi ndo maana waifu akinambia I love u nakuwa naguna tu.Lakini Mungu atatulipia wanaume

We kloro wewe!
Hivi hujui tokana na hiyo clip nyani ngabu nilimshusha mshipa? Chezeya bishanga wewe.
 
Hivi ile operesheni uliyofanyiwa ukawa mkaka kwani ilikuwa reversed? Ama ulikuwa na mume mwanaume I mean down low?
Son of a gun, u scare the heck outta me!
 
OTIS, afya ya ndoa yangu iko ICU unadhani nachekesha?

Kuna wakati namnyima uhausi mume kwa wiki 3 hadi mwezi. Afu nikiwa peke yangu najilaumu, naona kazisa simtendei haki lakini usiku akinigusa naruka kama kanichoma na miiba.

Yaani, vingine hata kusema naona aibu.

Wahanga wa hili ni hao wanao Kongosho
Nawaonea huruma
OTIS
 
Last edited by a moderator:
E bana e,kumbe Asprin hatumii kondom? Kupotea kote jamvini konnie kumbe ulikuwa unachoropoa mimba?
Kudadadadaddeki ccm hoye,
Niendelee kumlipua kongosho nisiendeleee? Kudadadadaddeki!!!!!

Hahahahaha!

Khaa!

Hehehehehehe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom