MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 510
Wadau mwenye driver hapo juu anisaidie tafadhali nakosa uhondo wa movies na music! Natanguliza shukrani
Fungua website ya hp, utapata iyo driver unayhitaji mradi uwe unajua model ya computer yakoWadau mwenye driver hapo juu anisaidie tafadhali nakosa uhondo wa movies na music! Natanguliza shukrani