47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
Nina mpenzi wangu, raia wa Nigeria, Sasa huyu msichana tulikutana chuoni pale mlimani, na tumedumu kwenye mahusiano, hadi Sasa tumeshahitimu na mahafali tulishafanya tar 25 November 2015.
Nimedumu naye miaka yote mitatu, pia kwao Benue state, Nigeria ni mefika wazazi wake Kwa kweli walinipenda, hata wamfurahi kuskia kua nimempenda binti yao.
Nyumbani kwetu pia amefika, na ndo bado yuko hapa tunaendelea kula machalari ya moshi.
Shida yangu ni kwamba, mwakani nataka tufunge harusi kunako majaliwa, huku visa yake pia inaanza kuisha muda, je akiwa mke Kuna haja ya ku-update visa?
Katiba inasemaje pale mtanzania anapovuta jiko la ng'ambo?
Naomba kuwasilisha.