Naomba msaada ndugu zangu.

Duh!
Amsamehe kama ameshatubu dhambi zake. Asije akaamua kumuacha akapata mwingine ambae ndie anaanza huo mchezo.
Wanawake 200 mbona wengi sana! Kidude hakijadepreciate kweli. Lol!
 
jaman ki mangap sis 2namfanyia jah makubwa kuliko haya. amsameh 2 coz ata yey hajakamilika;;;;;;?
 
Amsamehe kwasababu alikuwa hajui analotenda amefunguka sasa kwenye hicho kifungo ambacho shetani alimfunga nacho.
Ni dhahiri huyo mtu hakuwa na hali ya kawaida, huwezi kutembea na dada yako halafu ukasema uko sawa.



Kuna dada yangu amenijia kutaka ushauri,amegundua kuwa mume wake ametembea na rafiki zake wawili,house girl wake,wifi yake yaani mke wa kaka yake,mwanaume huyu katembea pia na dada zake wa kuzaliwa nae,wawili.majirani zao zaidi ya wanne.

pia inasemekana huko nyuma kabla hajamuoa huyu dada,alikuwa na mke mwingine,ambapo alitembea na mama mzazi na dada wa huyo mke,pia aliwahi kufanya mapenzi na kichaa.amejaribu kufanya hesabu wanawake waliozini ni mume wake ni zaid ya 200.

Na mume huyu amekiri mwenyewe kwa kinywa chake baada ya kufanyiwa maombi.sasa anaomba msamaha akidai kuwa kulikuwa na nguvu iliyokuwa inamsukuma kufanya mambo hayo.maana mbali ya kufanya mapenzi na watu wote hao,pia alikuwa na tabia ya kujichua kwa kutumia picha za wanawake aliokuwa akikutana nao njiani,au wale waliokuwa wanamkataa,ingawa anadai alikuwa hakataliwi akimtaka mwanamke.wamo wake za watu wengi tu.

Huyu dada ananiuliza je amsamehe?au afanyeje?maana analia na kusema alikuwa hajitambui.Nawaomba ndugu zangu,nisaidieani,nimshauri vipi?
 
Hv jmn kweli kuna mtu anaweza fanya kitu hii kweli duuh.

Huwezi kuamini,lakini hii ni kweli kabisa,tena huyo kaka ana umri wa miaka 30 tu.ila anadai hakuwa yeye.yaani anasema alikuwa hajitambui.Anasema hata akilala na mke wake.lazima ucku atoroke na kwenda kwa house girl.na asubuhi lazima ajichue.
 
Amsamehe kwasababu alikuwa hajui analotenda amefunguka sasa kwenye hicho kifungo ambacho shetani alimfunga nacho.
Ni dhahiri huyo mtu hakuwa na hali ya kawaida, huwezi kutembea na dada yako halafu ukasema uko sawa.

Ahsante ndugu yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom