Naomba Msaada;namna ya kununua bundle za Tigo per day,week,monthly

kirahisi zaidi line yako iwe kwenye simu then bonyeza *148*01#
Utaona Tigo menu, chagua namba 2. then uendelee na chaguo unalotaka, aidha kwa siku, wiki, mwezi. Hamna mwaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom