Naomba msaada namna ya kuchakachua vodafone

Feb 23, 2012
15
1
Nisaidieni ili niweze kutumia laini zingine nimechoka na internet ya voda ni wezi watupu natanguliza shukurani za dhati.
 
Nisaidieni ili niweze kutumia laini zingine nimechoka na internet ya voda ni wezi watupu natanguliza shukurani za dhati.

mkuu ingia google search dc-unlocker,idownload ni kama 1mb then fanya installation haya baada ya hapo weka laini tofauti na voda eg.tigo,run software and click search kama sikosei ndan ya sekunde 18 watakwambia yo modem is unlocked. ukishindwa nambie nkupe other alternative
 
Tumia 3G Join Air,HAPO UNATUMI LINE YOYOTE LAKINI KUMBUKA ku uninstall software ya voda na wakati uki initialize 3G yako ikitokea installation ya voda icanseli fasta.
 
Nisaidieni ili niweze kutumia laini zingine nimechoka na internet ya voda ni wezi watupu natanguliza shukurani za dhati.

Ustumie software yoyote kama tayari ulishawah connect simu na pc yako kwa pc suite kukawa na setting ya dial up connection tumia hio setting kukonekt na line nyengine kwa modem ya voda
 
Na mimi niulizie hapa hapa: hivi kuna uwezekano wa kuifanya modem iwe kama flash drive kwa ajili ya storage/saving other things kama documents?
 
Na mimi niulizie hapa hapa: hivi kuna uwezekano wa kuifanya modem iwe kama flash drive kwa ajili ya storage/saving other things kama documents?

hapana unless iwe na card reader then uingize hiyo microMD
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom