Naomba msaada kwa anayefahamu vizur kuhusu compassion Internation.

Vyuo vya kata vimetuharibia wadogo zetu sana. Wewe kama hujamaliza St John's basi itakuwa Arusha University.
 
kwa aina ya maandishi yake sijui hata hiyo kazi ameipata vipi! napata shida hata kuelewa kama ni msomi wa ngazi ya chuo.

Na bahat yenu computa imesaidia kurahisisha handwritng za watu, vngnevo hata hcho kdogo mlichosoma kwenye thread yangu sijui km mngekipata! Ajikwezaye atashushwa. Her yenu mlosomea international universty! Hekoo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom