salito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,408
- 716
Habarini wana jf..mimi kuna swala linanitatiza hasa kwa watu wenye imani za dini zenu naomba mnifafanulie hili..Hivi kumuoa mwanamke ambae umeshaishi nae kinyumba linaruhusiwa katika imani yako?au ambae umeshazaa nae?kama jibu ni ndio kwa nini?na kama hapana kwa nini pia?naomba unifafanulie mtazamo wako juu ya hili..ukinipa na mistari ya kitabu unachokiamini utakuwa umenisaidia sana.
Angalizo:
Hii ni kwa wale watu wenye kujielewa,matusi,kejeli,dharau kwa imani isiyo yako hayahitajiki.kama huwezi hili tafadhali pita tu.
Angalizo:
Hii ni kwa wale watu wenye kujielewa,matusi,kejeli,dharau kwa imani isiyo yako hayahitajiki.kama huwezi hili tafadhali pita tu.