Naomba msaada kuhusu mitambo ya DOWANS

Jak512

Member
May 14, 2011
5
1
Wadau nafikiri tumesikia ya kuwa mitambo ya Dowans imeuzwa kwa kampuni ya kimarekani,sasa swali ninalojiuliza mimi ni kwamba kama Raisi wetu alikana hadharani ya kuwa hawajui wamiliki wa dowans,inakuwaje dowans inauzwa wakati muuzaji hajulikani?

Mwanajamii
 
Hapa nahisi unga wa ndele unajionyesha dhahiri jinsi unavyofanya kazi.
 
Hawa ni Dowans2 waliovaa suti ya Marekani badala ya suti ya Waarabu. Kinachoshangaza ni kwamba hata huko Marekani makampuni yanaponunuana huwa sio siri kuanzia nani anamuuzia nani na kwa bei gani. Serikali yao wakati mwingine huingilia kati mchakato pale panapotokea kuchezwa faulo. Sasa leo hii Symbion bin Dowans wanatwambia eti hiyo ni siri kati ya mnunuzi na muuziwa!!!! Tusubiri tuone wabongo tunavyoingizwa mkenge na wajanja wa beltway. Vimbwanga vya Wall Strret vs Main Street vinahamishiwa bongoland!!!:dance:
 
Wadau nafikiri tumesikia ya kuwa mitambo ya Dowans imeuzwa kwa kampuni ya kimarekani,sasa swali ninalojiuliza mimi ni kwamba kama Raisi wetu alikana hadharani ya kuwa hawajui wamiliki wa dowans,inakuwaje dowans inauzwa wakati muuzaji hajulikani?

Mwanajamii
Maswali mengi ya ajabu kweli. Hivi, kuuzwa mitambo mpaka raisi ajuwe mwenyewe ni nani? Hivi wewe uko sawa kweli? Au ndio mashallah?
 
Mvua zinanyesha lakini mabwawa hayajai, nikajiuliza kwa nini? mara mgawo wa nguvu ukatangazwa, nikajua sasa kuna Dowans mpya inatafutiwa dili, na kweli hiyo imeshaingia na lazima Tanesco wataingia nao mkataba, subirini muone.

Nchi hii haina mwenyewe jamani, wazungu njooni mchume mtuachie umasikini wetu.
 
Maswali mengi ya ajabu kweli. Hivi, kuuzwa mitambo mpaka raisi ajuwe mwenyewe ni nani? Hivi wewe uko sawa kweli? Au ndio mashallah?

just use your common sense! Dowans ni issue ambayo ime hit kwenye news kwa sana, mpaka bungeni na mawaziri wamewajibika kwa ajili ya issue hiyo, so it's a hot issue ambayo at least mr. president must be aware kuhusu hatima yake! ukumbuke serikali ilishindwa kununua mitambo hiyo kwa sababu ya politics zilizoingilia kati pamoja na kwamba ilisemekana kuna sheria ingeweza kutumika kutaifisha mitambo hiyo na mchezo ukabadilika ikabidi Dowans ilipwe fidia! kwa mizengwe hiyo huoni kwamba kuna haja ya rais kuwa aware of what is going on? if at all he is not aware!
 
Naunga mkono hoja 100% rais wetu nahisi ni fisadi au mvivu kufikiria
 
kuna harufu kubwa ya udanganyifu kutudanganya watanzania lazima bei ijulikane na wauzaji wajulikane. Natamani Tanesco wakatae huo muofa wao. Jk ingilia kati mkubwa
 
Hawa ni Dowans2 waliovaa suti ya Marekani badala ya suti ya Waarabu. Kinachoshangaza ni kwamba hata huko Marekani makampuni yanaponunuana huwa sio siri kuanzia nani anamuuzia nani na kwa bei gani. Serikali yao wakati mwingine huingilia kati mchakato pale panapotokea kuchezwa faulo. Sasa leo hii Symbion bin Dowans wanatwambia eti hiyo ni siri kati ya mnunuzi na muuziwa!!!! Tusubiri tuone wabongo tunavyoingizwa mkenge na wajanja wa beltway. Vimbwanga vya Wall Strret vs Main Street vinahamishiwa bongoland!!!:dance:
Halafu hao hao Symbion walionunua mitambo ya Dowans wanageuka na kuanza kuiuzia TANESCO umememe. Patamu hapo. Rostum hajapoteza senti zake.
 
Itakuwa ni ujinga kama Tanesco / seikali wataingia mkataba wowote na kampuni mpya kuuza umeme toka mitambo ambayo kwa sheria ya nchi hii ni mitambo chakavu - ndiyo maana hatukuinunua.
Another scandal looming.
 
Kama kweli hawa Symbion watakuwa siyo MATAPELI kama Dowans na Richmonduli itakuwa ni neema kwa Tanzania.Lakini kwa Tanzania any thing can happen. Isije ni jamaa walewale kina Gire wamerudi kwa mlango wa Symbion!

Nimejaribu kutafuta websiite yao na ku-browse kuona ni nani na wanafanya nini kwenye sekta ya Umeme. Bofya hapo chini ujionee mwenyewe na upime je are they the right people to solve our power crisis in this country?

Kwa sehemu nina imani kidogo. Hii ni kwasababu huwa nawaaminia Wamarekani mara nyingi hawana longo longo kama mataifa mengine.
Tusubiri tuone!

Symbion Power
 
Back
Top Bottom