Naomba msaada kuhusu malipo ya kupelekwa kituo cha kazi

PAFKI

Senior Member
Sep 30, 2011
116
38
Mimi nimeajiriwa Arusha toka Dar,katika taratibu natakiwa nilipwe fedha ili nilete familia yangu ktk kituo changu cha kazi. menejimenti inasema nitafute bei ya kusafirisha mizigo yangu tani 1.5 nipeleke wanilipe. kinachonitatiza ni kwamba bei sijui, hii ni private sector ila wanasema wanalipa sawa na skimu za serikali.
NAOMBA MTU MWENYE KUFAHAMU NAPASWA NILIPWE SH NGAPI ANIJUZE NILIPWE HAKI YANGU
1.Mume na mke
2.Watoto watatu
3.mizigo tani 1.5
 
mi nnavyojua unafanya hivi:
umbali(KM)*tani 3*1000.

kutoka Dar -arusha kuna kama km700 kama sijakosea, kwa hiyo inakuwa:-
700km*3*1000=TSHS 2,100,000
 
mi nnavyojua unafanya hivi:
umbali(KM)*tani 3*1000.

kutoka Dar -arusha kuna kama km700 kama sijakosea, kwa hiyo inakuwa:-
700km*3*1000=TSHS 2,100,000
Ya ndivyo inavyotakiwa, nauli ni ileile ya basi au ndege kawaida na inalipwa kwa mme, mke na watoto wanne alafu na pesa ya kujikimu njiani inaweza kuwa ni 65,000 kwa siku au nusu yake
(* = kuzidisha)
 
Back
Top Bottom