Habari wadau! Naomba msaada kwa ongoing student ambaye anamkopo kwa miaka miwili iliyopita ila mwaka huu hajafanya application tena baada website ya Heslb kublock; ili kuendelea kupata; 1)hivi ni lazima sana kuapply au kama jina lipo hamna shida tena kule bodi?
2) kama ni lazima ukienda sa hizi itawezeka?
3)au haina tatizo lolote.?
Jamani naombeni msaada na ufafanuzi kidogo kuhusu ili kwani nami ni miongoni mwa hao ambao hatukufanya hicho kitu.Nashukuru sana!
2) kama ni lazima ukienda sa hizi itawezeka?
3)au haina tatizo lolote.?
Jamani naombeni msaada na ufafanuzi kidogo kuhusu ili kwani nami ni miongoni mwa hao ambao hatukufanya hicho kitu.Nashukuru sana!