Naomba msaada jinsi ya kumtongoza rafiki wa dada angu.

Simu mbona humaliza kila kitu. Sms kila mara, calls kila mara. mwombe tu namba ake, utakuwa umemaliza.
 
Wakuu naomba msaada.

Imetokea nimempenda rafiki wa dada angu, lakini kila nikijaribu kulianziasha naona ngoma haiendi.

Naomba nipeni mistari ya kuanzia.:

Embu tutokee hapa Rafiki wa DADA yako si dada yako pia,,, acha tamaa za kijinga,,,, hivi huyoo dada yako akitamaniwa na kaka wa huyo rafiki yake,alafu akamegwa wewe ukajua sista anagongwa we utajisikiaje? si utaona rafiki wa dada yako kamuuza kwa braza wake acheni hizo kemege mademu mbele ya safari huko,,, alafu hayoo yalikuwa mambo ya zamani kishenzi,,,, alafu dazini ushamwambia sista yako akakutolea nje coz amekuona boya kishenzi,,,,thus why umekuja jamvini,,, acha kutaka mitelemko............
 
Cha kufnya we mwambie ukwl sster kua umezimika kw rafk yk ile awez kukupa nafac ya kuongea nae,maana awez kujua unaleng gan km ujaw waz.datc al ma frnd.
 
Wakuu naomba msaada.

Imetokea nimempenda rafiki wa dada angu, lakini kila nikijaribu kulianziasha naona ngoma haiendi.

Naomba nipeni mistari ya kuanzia.:

Inaonekana bado hujawa mwanaume kamili. Ungekuwa mkamilifu, wala usingediriki hata kuuliza swali kama hilo humu jamvini.
 
Simu mbona humaliza kila kitu. Sms kila mara, calls kila mara. mwombe tu namba ake, utakuwa umemaliza.

asante kwa ujumbe mzuri, namba yake tayari ninayo. so hope things will work.
 
Embu tutokee hapa Rafiki wa DADA yako si dada yako pia,,, acha tamaa za kijinga,,,, hivi huyoo dada yako akitamaniwa na kaka wa huyo rafiki yake,alafu akamegwa wewe ukajua sista anagongwa we utajisikiaje? si utaona rafiki wa dada yako kamuuza kwa braza wake acheni hizo kemege mademu mbele ya safari huko,,, alafu hayoo yalikuwa mambo ya zamani kishenzi,,,, alafu dazini ushamwambia sista yako akakutolea nje coz amekuona boya kishenzi,,,,thus why umekuja jamvini,,, acha kutaka mitelemko............

Wewe akilizako unazijua mwenyewe. mimi nataka mke ,na sitadhubuti kufanya chochote kabla ya kumwoa. Ninacho hofia ni kumwondolea dada angu rafiki yake. Maana yake hawata kuwa vipenzi kama mwanzo, japo wanaweza kuwa fam,milia moja. usifikili wpte wanawaza kama wewe.
 
Maendeleao:: jana nimeongea naye sana, kaniuliza umekula, etct etct , naona mabo yanakwenda vizuri. Amesha gundua nini kineendelea. najipanga kuongea gia moja.
 
Arooo Husninyo, moyo wangu umekudondokea.
Naomba tuchanganye mate na tubambanishe kikojoleo na kikalio.

Hii kali!
 
Mwambie tu, kuwa umempenda na unatamani upate fursa ya kuongea nae zaidi peke yake, over diner, movie, outing! Unaogopa nini? ukiwa beep wana-piga, na maanisha kuwa wanawake wa kwetu tabia zao huwa wao ni vigumu sana kuanzisha maneno na mwanamme, huwa wanasubiri uanze tu, duhh, usije ukashindwa mwenyewe, hawajaribiwi hawa.
 
sasa ndugu yetu mbona hatukuelewi? unasema dadaako atakuchukuia kwanini sasa, kwani unamgonga sister ako, we mtumie huyohuyo dadaako utampata tu huyo demu!
 
Wakuu naomba msaada.

Imetokea nimempenda rafiki wa dada angu, lakini kila nikijaribu kulianziasha naona ngoma haiendi.

Naomba nipeni mistari ya kuanzia.:

wewe uchangamfu ndo mpango mzima,alafu unajifanya kumtania tu,mpe moyo sana,msifie utafanikiwa tu!alaa pumbaavuu?!!
 
Back
Top Bottom