naomba msaada idios yangu inaniambia SIMLOCK block unlock reset key

Olaw2jr

Member
Jun 22, 2012
52
28
people naombeni msaada wenu sim yangu inaniambia SIMLOCK block unlock reset key baada ya kubadili (ICS) rom upgrade na hata nilivyo rudisha ya zamani problem iko palele help pliz cant make calls.

:A S embarassed:
 
DAh sijawai ona rom ina relock simu uliweka rom ipi ya ics miui v4 au coldfusion x Cyanogenmod 9 maana Ilishawahi niandikia ivyo kwenye miui nikapress okay simu ikafunction as normal
 
Whats bidhaa yako ya mkononi na mfano wa kuigwa? Je, unahitaji sim kuzuia upya muhimu kwa ajili ya Huawei yako? Kama ni hivyo, kupata kufungua kanuni kutoka provdier Unlock-Zone.com upya simu yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom