naomba mnitafutie kazi jamani

mbenye

Member
Mar 26, 2011
26
0
ndio kwanza najiunga naomba mnitafutieni kazi watanzania wenzangu nimejitahidi nimekosa mimi ni graduate wa sua
 
Pole sana Mbenye
Umesoma course gani , labda ungetuma CV ingekuwa bomba, ndio umemaliza hivi karibuni, usikate tamaa kwani wote tumepitia hayo ndugu yangu. I really can feel you man/woman.
 
tafuta mtaji uanze kufanya biashara..............eg stationary ............tueleze rasilimali ulizonazo tukushauri kazi ya kufanya
 
tafuta mtaji uanze kufanya biashara..............eg stationary ....

watu mnaowapaga ushauri kama huo watu wanaotafuta kazi huwa mnanichosha!!!
Sasa mtu kazi hana, mtaji akatoe wapi jamani!?? Muelekeze japo namna ya kupata huo mtaji.
 
hiyo cv nitaituma vipi

kwenye hiyohiyo thread yako jielezee zaidi. Maelezo maduchu sana hayajitoshelezi mkuu.
Unapotoa tangazo la kutafuta kazi usiwe domo zege. Humu humu watu wanapima hata uwezo wako wa kujielezea. Ile usiandike mambo mengi nayo yatachosha watu.
Ni hayo tu.
 
watu mnaowapaga ushauri kama huo watu wanaotafuta kazi huwa mnanichosha!!!
Sasa mtu kazi hana, mtaji akatoe wapi jamani!?? Muelekeze japo namna ya kupata huo mtaji.
lazima tufike wakati wa kuangalia mfumo mzima wa ajira a si mtu kwani kwa mazingira ya sasa inawezekana vijana 3 wakajiunga na kutafuta photocopy machine 1,500,000 na kompyuta 200,000 na printer 100,000 wakafungua stationary na kuanza maisha yao ikitokea wamepata kazi nyingine mbeleni ni vema lakini si wakati wa kusoma na kutegemea ajira za serikali
 
haya, mi naomba nijiunge na wewe. Ila natoa wapi hela ya kuchangia? Nipe mbinu zaidi.
 
lazima tufike wakati wa kuangalia mfumo mzima wa ajira a si mtu kwani kwa mazingira ya sasa inawezekana vijana 3 wakajiunga na kutafuta photocopy machine 1,500,000 na kompyuta 200,000 na printer 100,000 wakafungua stationary na kuanza maisha yao ikitokea wamepata kazi nyingine mbeleni ni vema lakini si wakati wa kusoma na kutegemea ajira za serikali

mbona pango haujazungumzia au unafungulia hyo biashara geto.acheni kurahisisha mambo.tatizo walioajiriwa wanashauri wenzao kujiajiri afu wao wanabaki wameajiriwa.non-sense!
 
  • Thanks
Reactions: 911
ndio kwanza najiunga naomba mnitafutieni kazi watanzania wenzangu nimejitahidi nimekosa mimi ni graduate wa sua[/QUO

pole sana mkuu usikate tamaa utapata, maana hii kazi ya kutafuta kazi nayo ni kazi haswa..
 
mbona pango haujazungumzia au unafungulia hyo biashara geto.acheni kurahisisha mambo.tatizo walioajiriwa wanashauri wenzao kujiajiri afu wao wanabaki wameajiriwa.non-sense!

Hapo sasa me huwa sipendi kabisa....kwa nini kila mtu asifaidike????inakuwa sio vizuri kabisa aise.....hahahha
 
Dah kumbe 2po weng, ushauri wa kujiajiri ni mgumu na unachallenge zake (1) lack of capital (2) experience (3) most of us graduate we are n't ready psychologically to be entrepreneur,(4) poor gvt policy (5) condtn of gettn loan frm micro- fnc usiombe! Mi mwenyew ni graduate wa sua lakn college muccobs wa procurement, so 2peni mawazo mengine lakn cio ujasiriamali kama nnavyo dai
 
Cha msingi lazima mtambue kwasasa ajira zimeshaingia kwenye wewe ni mtoto wa nani ? unafahamiana na nani? kwani Tazama jinsi magazeti yanavyotangaza kazi kwa wingi lakini Zinajazwa na wale wale sasa ushauri wangu kwa vijana wenzangu ni kujenga Tabia ya kufikiri kujiajiri zaidi na pindi wenye nafasi ya kujiajiri wakijiajiri basi wengine watapata ajira tokana na miradi ya waliojiajiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom