Naomba mnisaidieni jinsi ya kuepusha mimba

Ngoja nikusaidie kuna blog moja inaitwa mashost, itafute wameanalyse hiyo topic. Kama hutaipata tafuta blog ya bwaya then kwa pembeni ameweka blog nyingine kibao hapo utaiona hiyo blog ya mashost. Pia unaweza kupiiz nje lakini hii ni risk kwani wanaume wengi wanajisahau inahitaji umakini kiasi hasa pale unapopewa mambo mazito na huyo mpenzi wako. Tembelea hiyo blog ya mashosti tafadhali
 
Back
Top Bottom