Naomba mnisaidieni jinsi ya kuepusha mimba

Njia peke ambayo ni salama kwa afya zenu na kinga ya mimba ni condom acha kupenda nyama kwa nyama yatakutoea puani
 
Mjomba kwanza jihakikishe kama mko wazima(kwa kupima)na kama mko wazima unaweza ukafanya tendo na kisha watoto wakija unatoka ndani unawatupa chini au hata juu ya tumbo la mwenzi wako.Lakini njia nzuri kuliko zote ni kutumia condom.Lakini nami naomba nikuulize unafanya tendo hilo kwa sababu gani kama hutaki watoto?
 
jamani naomba mnisaidie namna ya kuepusha kumpa mimba msichana,nahitaji kujua may be formula ya kuweza kutumia ili kukwepa ukiwa unakula nyama kwa nyama(namaanisha without using condom) si unajua sometimes condom ina madhara,mi sitaki kutumia condom hata kidogo,nihabarisheni namna ya kutokumimba msichana,nipo gizani jamani

Dont try to do that thing!
 
Acha ngono...pia msichana asiogelee swimming pool! kuna msichana wa poland alipatia mimba swimmingpool misri.
 
Piga puchu tu,hilo ndio penzi salama kuliko yote,gharama yake ni sabuni tu na huna wasiwasi wa mimba wala ngoma, we unapiga ngadu kwa raha zako tu.
 
Mzee, ukipiga, halafu ukahisi zinataka kutoka, toa fasta ukielekezea kwenye chuchu zake. Lakini huwa ziko fasta kama risasi, hivo aangalie macho yake kwani zanaweza kumuumiza. Hivo suala hapa ni kugangamala na kuchomoa fasta tu, hamna shida.
 
nieleze kaka niko serious nisaidie

nisaide kaka nieleze

Unataka msaada gani wakati kinga rahisi, kondom hutaki kutumia?

Yaani kijana hutaki kutumia kondom wakati ndio kinga ambayo vijana wengi duniani wanatumia? Naona wewe ni muharibifu wa watoto wa watu. Kama unampenda, basi punguza au acha ngono. Mkizidiwa tumia kondom. Hakuna njia ya mkato.

Jamani sikuhizi kwanza wakupe madongo then ndo watokee wasamalia wema wakwambie!!ngoja mimi ninajua unahesabu siku yakwanza ya mp yake hadi siku ya kumi na nne!Hizo siku ni noma sikwa wote ila siku saba za mwanzo na maanisha siku anayomaliza kama anaenda3 basi unaweza kuchakachua hadi 4+3 zaMp =7endelea siku3 tu!zinakuwa ten days kutokea hapo usipige hadi zipite 5then mwendo mdundo mpaka mp!siyakitaalamu sana ila inasaidia ila wataalamu watakuja kukusaidia mimi nimekupa idea yangu wapo wenye maskil yao hapa utapata usikonde ila kumbuka condomu ndugu yangu tunakuhitaji hapa JF:mmph:

This is toxic and deadly staff. Mahesabu yenyewe yamekosewa na pia vijana wanaoishi kila mtu kwa babake hawawezi kabisa hii njia. Mwache ajaribu, wakifiksha miezi mitatu hadi sita bila mimba basi wanidai malipo. I will give them $1000.

Mzee, ukipiga, halafu ukahisi zinataka kutoka, toa fasta ukielekezea kwenye chuchu zake. Lakini huwa ziko fasta kama risasi, hivo aangalie macho yake kwani zanaweza kumuumiza. Hivo suala hapa ni kugangamala na kuchomoa fasta tu, hamna shida.

Mantissa, ulishajaribu wewe mwenyewe ukaona ugumu wa njia hii? Acheni kuwapotosha wenzenu. vijana wanatakiwa kutumia A na C katika zile njia 3 za kujikinga na ukimwi (ABC). Haya mengine wasubiri watajaribu huko mbele ya safari
 
jamani naomba mnisaidie namna ya kuepusha kumpa mimba msichana,nahitaji kujua may be formula ya kuweza kutumia ili kukwepa ukiwa unakula nyama kwa nyama(namaanisha without using condom) si unajua sometimes condom ina madhara,mi sitaki kutumia condom hata kidogo,nihabarisheni namna ya kutokumimba msichana,nipo gizani jamani

Wewe unatafuta hatari arifu! Ati nini? Nyama kwa.....? Ukimwi? Tumia kondomu dogo acha ulimbukeni tutakuzika! ohoooooo!
 
Kwani utumiaji wa mpira una madhara gani? Au mzee una kibamia? Inapwaya kwenye mpira?
 
Mzee, ukipiga, halafu ukahisi zinataka kutoka, toa fasta ukielekezea kwenye chuchu zake. Lakini huwa ziko fasta kama risasi, hivo aangalie macho yake kwani zanaweza kumuumiza. Hivo suala hapa ni kugangamala na kuchomoa fasta tu, hamna shida.

sio rahisi kiivyo kama unavyofikiria!!!!
 
jamani naomba mnisaidie namna ya kuepusha kumpa mimba msichana,nahitaji kujua may be formula ya kuweza kutumia ili kukwepa ukiwa unakula nyama kwa nyama(namaanisha without using condom) si unajua sometimes condom ina madhara,mi sitaki kutumia condom hata kidogo,nihabarisheni namna ya kutokumimba msichana,nipo gizani jamani

At ze end of ze dey unajikuta Plan B ndo inachukua mkondo, tambaa na tiGO!!!!
 
jamani naomba mnisaidie namna ya kuepusha kumpa mimba msichana,nahitaji kujua may be formula ya kuweza kutumia ili kukwepa ukiwa unakula nyama kwa nyama(namaanisha without using condom) si unajua sometimes condom ina madhara,mi sitaki kutumia condom hata kidogo,nihabarisheni namna ya kutokumimba msichana,nipo gizani jamani

jifunze mstari wa tarehe, it works well. Nenda jf doctor kuna thread ya siku za nyuma kidogo inazungumzia namna ya kujua siku za hatari.
 
jamani naomba mnisaidie namna ya kuepusha kumpa mimba msichana,nahitaji kujua may be formula ya kuweza kutumia ili kukwepa ukiwa unakula nyama kwa nyama(namaanisha without using condom) si unajua sometimes condom ina madhara,mi sitaki kutumia condom hata kidogo,nihabarisheni namna ya kutokumimba msichana,nipo gizani jamani

mimba inaepukika kwa kuacha kushiriki kwenye tendo linalolet mimba..
 
Back
Top Bottom